@shigaka_luxury: Weka nafasi yako leo na uwe Sehemu ya Shigaka Luxury kwa siku hio. Hakikisha unasafiri nasi kila siku ili usiwe na mashaka tena kuhusu safari yako ya siku hio. ................ SAFARI ZA KILA SIKU SHIGAKA LUXURY. GEITA - DAR-ES-SALAAM DAR-ES-SALAAM - GEITA Nauli Yetu: TZS. 90,000/= GEITA - DSM: Safari inaanza saa saba kamili mchana. DSM - GEITA: Safari zetu zinaanza saa sita kamili mchana kutokea pale Tiptop Manzese na Mbezi Magufuli kutoka Saa saba kamili mchana safari inaanza. Huduma kwa Wateja: GEITA: ☎️0794828282 DAR: ☎️0796 555 958 ...................................... SAFARI ZA KHM-DAR, DAR-KHM KILA SIKU. KHM - DAR DAR - KHM Nauli Yetu: TZs: 85,000/= ........ Bus ya Kwanza: Saa nane Kamili Mchana. Bus ya Pili: Saa kumi kamili Jioni. Bus ya Tatu: Saa kumi na mbili Jioni. NB: Ratiba hii ni kwa kutoka Dar-es-Salaam kwenda Kahama na kutoka Kahama kwenda Dar-es-Salaam. , Huduma kwa Wateja: ☎️Kahama Office. 0742510010 0742510020 ☎️Dar-es-Salaam Office. 0747510010 0796 555 958 Mizigo Dar Office. 0741210049 ................ Kata ticket yako mapema sana kwa kutembelea www.shigaka.co.tz kupata online ticket Bila usumbufu wowote na ukiwa mahali popote pale.. Lakini pia unaweza kukata ticket yako online ukiwa mahali popote pale na kupata ticket yako au unaweza download app ya busbora play store/App store. ..... Book Ticket Online. www.shigaka.co.tz Shigaka Luxury We Say "YOUR DESTINATION OUR INSPIRATION " #GeitaNiShigaka #KahamaNiShigaka #ShigakaLuxury #YourDestinationOurInspiration #PrideOfKahama

shigaka_luxury
shigaka_luxury
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 25 June 2026 06:45:37 GMT
8951
973
48
18

Music

Download

Comments

elias.musa05
Elias Musa :
Shigaka luxury hawana majigambo ni peac fully
2026-08-07 13:07:38
2
fettie_8
fettie🦋 :
I really enjoy my trip, from kahama to Morogor last Monday, thaks for ur service🙏❤️
2026-08-16 06:36:17
1
joackimfabian1
joackim :
runzeweto dar kias gan
2026-08-16 19:34:55
1
dreambigstayfocused
dreambigstayfocused :
home sweet kahama kubwa kuliko shinyanga✌
2026-06-25 07:34:17
2
yahyakombo595
U$!LoL!JUA :
mashine 🔥🔥
2026-08-23 12:10:27
1
ivantone24
Ivan Tone2 :
ndegeee
2026-06-25 06:56:26
1
j4977511
JP Mashinga :
niulize mie kuhusu huo 🔥🔥🔥🔥🫡🫡
2026-07-28 17:58:08
1
silentkhadi_0
silentkhadi_0 :
Beautiful lucy🥰🥰🥰
2026-07-31 12:59:59
1
badgllks
Sophey 🦋 :
kahama dar shingap
2026-06-28 07:44:36
1
ivo.tembo
Mamu :
naomb nafasi ya kazi
2026-08-21 16:27:43
0
j_madin
J_MADIN MNYAMA :
aiseee aiseee umemeee umeemeeee🔥🛫
2026-06-26 05:59:36
1
mrmadragoni
Samu six6 :
🔥🔥🔥tuondoke
2026-06-28 07:35:19
1
wanazi.mbeya.back
WANAZI #£ MBEYA BACK UP★ :
uo ndo upendo ,yaan kama deleva hajakuona konda na ziba pengo ,hata taa za mkono ni baraka 🥰😅
2026-08-06 07:29:47
0
hashford_5
hashford :
mbna kama joyce
2026-07-31 07:30:25
0
kiveni.45
Kiveni 45 :
ili gar au ndege nashindwa kuelewa mm ila shigaka 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-07-01 20:04:14
1
user7112888112540
DRIVERdavie🇹🇿 :
asee nawapenda nawakubali mnoooo ata kujielezea sez Mim kila NIKIONA VIDEO ZENU MWILI UNASISIMKA SASA na hz song sasa🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🤩🤩💞💞💞💞🤗🤗🤗🤗
2026-06-25 17:26:08
1
5chazz
essau chazz 07 :
Fahari ya kahama 🔥🔥🔥🔥
2026-06-27 10:29:34
1
annamasanja63
annie🥰 :
😘😘
2026-06-25 07:58:15
1
allysstar_bus
Ally's star Bus services 🍊 :
🔥🔥🔥
2026-06-25 18:50:50
1
kimarobaraka1
KIMARO :
😳😳😳
2026-07-10 16:07:10
1
To see more videos from user @shigaka_luxury, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About