@akili_media: Dunia ya leo haihitaji vyeti pekee, inahitaji ujuzi wako. Ujuzi ndio ufunguo wa ajira, biashara na mafanikio ya kweli. Jifunze leo, ujitengenezee kesho bora. 🚀 🚀 UJUZI NDIO PESA YA SASA! Leo hii watu wengi wanatafuta kazi… Lakini wenye UJUZI wanajitengenezea kipato wao wenyewe kupitia mtandao. 💻📱 Kama unapenda: 🎨 Kutengeneza matangazo mazuri 🎬 Ku-edit video za kisasa 📲 Kukua kupitia social media 💼 Kusimamia akaunti za biashara mtandaoni Basi muda wako umefika! Karibu @akili_media ambapo tunakufundisha kwa VITENDO: ✅ Graphic Design ✅ Video Editing ✅ Digital Marketing ✅ Social Media Management Utajifunza kutumia: 🔥 Adobe Photoshop 🔥 Adobe Illustrator 🔥 Premiere Pro / Filmora 🔥 Mbinu za Social Media Marketing Baada ya mafunzo utaweza: ✔ Kutengeneza posters na logo za kitaalamu ✔ Ku-edit video za matangazo zinazovutia ✔ Kusimamia page za biashara kama mtaalamu ✔ Kujipatia kipato kupitia ujuzi wako 📍 Mafunzo yanapatikana: ✅ Ana kwa ana ✅ Online ✅ Muda unaokufaa wewe ⏳ Kozi hukamilika ndani ya wiki 2–3 tu! Huu sio muda wa kubaki mtazamaji… Jifunze ujuzi unaolipa maisha yote. 💰 📞 Jiunge sasa: 0787816375 📍 Mahali: Kariakoo – China Plaza Tuma neno “DESIGN” WhatsApp ili kuanza safari yako ya mafanikio 🚀 #GraphicDesign #VideoEditing #DigitalMarketing #SocialMediaManager #AkiliMedia OnlineBusiness ContentCreator Photoshop PremierePro FYP

Akili Media | Content Creator
Akili Media | Content Creator
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 25 June 2026 08:17:10 GMT
2271
104
1
6

Music

Download

Comments

boy_director0011
𝑴𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒔𝒖 👑 :
🔥🔥🔥
2026-07-16 06:25:23
0
To see more videos from user @akili_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About