@mtabibu.maalim.mi: MADHARA YA KUKAA NA KIFUNGO NDANI YA MWILI vifungo, ni uwanda mpana kidogo hivyo ni lazima kuelewa na kutofautisha kipi ni kipi ,kwani vifungo vinakuwa sehemu kuu tatu ,1 vifungo vya kijini 2. vifungo vya kichawi 3 vifungo vya laana au radhi za wazazi , vyote hivi vilishaelezwa namna zake , kifungo ina maana ya kuzuiwa,kunyimwa,kupoteza,kitu kilichokusudiwa kwenye manuizo ya kifungo husika, kama ulifungwa maradhi basi itakua kila siku au kila mara ni wa maradhi , sasa haimaanishi kua umefungwa maradhi ndio umefungwa kupata watoto au riziki , hapana,unaweza kua umefungwa maradhi na riziki ukapata , aidha ikiwa ni kifungo cha kutokuoa au kuolewa,basi wewe utatumia juhudi akili maarifa uzuri ucheshi na hata pesa ili kupata kuoa au kuolewa lakini wapi vyote huyeyuka na maji , hata uwe vipi sana sana ,utafosi mahusiano halafu mwisho lazima yakutoe machozi au kujuta , hivyo ndio vifungo hua ,na haimaanishi ikifungwa milango ya mahusiano hutapata kazi au riziki la hasha,hivyo utapata vizuri tu ila jambo lililokusudiwa ndio hutapata , utatumia mpaka pesa zaidi ya uwezo wako lakini utaishia kuonekana punguwani, mwisho majuto machozi , kulaumu kulaani ,uzuri unao ,pesa za kutumia zipo ,japo sio za kununua magari ila utapigwa chini ,mwenza atachukulia kawaida tu ,hiyo ndio kifungo ,. umefungwa usizae ,hapo utasema mume mke ndio tatizo wacha nitoke nje napo unakuta patupu, utakula na kulala pazuri shida ni kuzaa kupata mtoto kua na mtoto ,lakini wapi ,hiyo ndio kifungo , majini na uchawi hutegemeana katika kazi zao ,ndio maana mtu anaweza kua na uchawi na jini pia , sababu wote kazi yao ni moja kuharibu , kusambaratisha kuleta maafa ,kuumiza ,kudhuru , kujua kama una vifungo vya kijini au kichawi yakupasa kua na nia dhabiti kwanza ndani yako , jaribio hili la kubaini sio kazi kubwa kama ,una nia dhabiti,isiyo na shaka, yakupasa kuchukua hatua ya kumtafuta fundi maganga MTABIBU MAALIM MILIMO 0623135066 0693946681

MTABIBU MAALIM MILIMO
MTABIBU MAALIM MILIMO
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 25 June 2026 08:35:54 GMT
181
9
3
2

Music

Download

Comments

athumaniakida
sharif hakimu rohaania :
amiin
2026-06-27 10:37:29
0
mwakutoa1
wangu mimi :
mungu abarik kazi zako inshallah
2026-06-26 11:27:08
0
mtabibu.maalim.mi
MTABIBU MAALIM MILIMO :
amiin
2026-06-26 11:27:41
0
To see more videos from user @mtabibu.maalim.mi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About