@mrimashop: Ilhali ukweli ni kwamba moyo mwingi huumia kwa sababu ya maneno ambayo hayakusemwa. ❤️🥀 Usiogope kuwa wa kwanza kuzungumza na mwenza wako. Ujumbe mmoja wa "Habari yako?", "Uko sawa?", au "Nimekukumbuka" unaweza kuwa mwanga kwa mtu ambaye amekuwa akipambana na maumivu yeke kimya kimya. Coz kuna nyakati ambapo watu hawahitaji zawadi kubwa wala ahadi nyingi, bali wanahitaji tu kujua kwamba bado wanathaminiwa, wanakumbukwa na wanapendwa. Kumbuka Mapenzi ya kweli hayajengwi na kiburi, bali na mawasiliano.✍️ Usiruhusu ukimya uvunje kile ambacho mazungumzo yanaweza kujenga. Ikiwa moyo wako unamjali mtu, usisubiri kila mara yeye awe wa kwanza. Kama wewe upo katika hio situation💔 Usijiulize mara 2, wala usijipe udhaifu🫵 Chukua hatua leo, tuma ujumbe, piga simu, muulize hali yake.✍️ Huenda ukawa sababu ya tabasamu lake leo.🥰🥰 Kumbuka, wakati mwingine ujumbe mmoja tu unaweza kuponya moyo uliokuwa ukiteseka kimya kimya. ❤️ Mr. Ima ☕❤️ #MrIma #Mapenzi #LoveQuotes #Mahusiano #TrueLove
Mr. Ima
Region: TZ
Thursday 25 June 2026 08:57:07 GMT
Music
Download
Comments
Mennah collection 🥰 :
Kweli Ndio Kila siku 😭😭
2026-07-01 09:31:58
1
LIKE _WISE🦋🤗 :
Kilacku mimi jmn
2026-07-01 19:48:25
1
Al ghulam🙏🙏🙏 :
🥰🥰🥰
2026-06-28 19:35:36
1
@Tiffah collection👗✂️ :
@Chuga Online Shop
2026-07-05 06:13:00
1
dr.Nasruu hijjamah :
🥰🥰🥰
2026-06-30 21:58:59
1
To see more videos from user @mrimashop, please go to the Tikwm
homepage.