@twin.tz: ✨ PASI YA MVUKE BOSSTECH 1500W ✨ 👔 Choka na mikunjo kwenye nguo? Suluhisho ni hili hapa! ✅ Mvuke wenye nguvu wa kuondoa mikunjo haraka ✅ 1500W – Inawaka na kufanya kazi kwa kasi ✅ Rahisi kutumia nyumbani, ofisini au safarini ✅ Inafaa kwa mashati, suti, magauni, mapazia na nguo mbalimbali ✅ Tangi la maji 360ml kwa matumizi ya muda mrefu 🔥 Pata nguo safi na nadhifu ndani ya dakika chache bila usumbufu wa pasi ya kawaida. 💰 Bei: Tsh 35,000 Tu 📞 0755478805 📍 Kariakoo, Dar es Salaam 🚚 Delivery inapatikana nchi nzima. #PasiYaMvuke #GarmentSteamer #Bosstech #HomeAppliances #Kariakoo

TWIN
TWIN
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 25 June 2026 10:57:40 GMT
1691
23
2
8

Music

Download

Comments

user1666361403742
user1666361403742 :
pasi bei gani
2026-06-30 10:31:34
0
daxnotorious
play boy :
boss kipara
2026-06-25 11:58:27
0
To see more videos from user @twin.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About