@fadhakkir_tv: NYUMBA YA ALLAH KAMA BANDA LA MIFUGO😭 KWA HALI HII KILA MMOJA WETU ATAULIZWA NA ALLAH😭 Sadaka Yako Ndio Akiba Yako ya Kesho 🌙 "Mwenye kujenga msikiti kwa ajili ya kumtukuza Allah, Mwenyezi Mungu atamjengea nyumba ya dhahabu peponi." Huu ni wakati wa kuwekeza kwenye nyumba yako ya milele. Kila tofali,mfuko wa saruji, na kila shilingi unayotoa ni sauti itakayokutetea mbele ya Allah. Usikubali fursa hii ikupite. Inunue pepo yako leo kwa kile kidogo ulichonacho kupitia: 💰 NJIA ZA KUCHANGIA ━━━━━━━━━━━━━━━ 📱 M-PESA: +255 755 848 508 📱 TIGOPESA: 0718 820 808 ➡️ LIPA KWA SIMU: 180 932 17 📱 AIRTEL MONEY: 0698 313 968 ➡️ LIPA KWA SIMU: 652756000 🏦 CRDB BANK 💳 0150916466800 🏦 NMB BANK 💳 24510047774 👤 JINA LA USAJILI: FADHAKKIR TV ━━━━━━━━━━━━━━━ Msikiti upo mkoa wa ruvuma,wilaya ya tunduru,kata ya muhuwesi,kijiji cha Mapinduzi #subhanallah #masjid #msikiti #nyasi #tanzania