@abrahmapenzitv: JAMAA ABEBA GUNIA LA MBATATA UMBALI WA KM 3... #zanzibar #daresalam

abrahmapenzi
abrahmapenzi
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 25 June 2026 11:32:21 GMT
19184
873
54
111

Music

Download

Comments

hemedy51
hemedy tengu :
wallahi nimefurahi sana nivijana wachache sana wenye nguvu kama huyu
2026-06-26 04:38:02
7
rehemamsakya
rehemamsakya :
woyoooooo woyooooooo umetishaaaaa kaka 🥰🥰🥰
2026-06-26 04:48:12
2
xlifa0
KHA<&> A06 :
bro kilo mia🥺🥺
2026-06-26 05:45:10
0
dogoj1121
user33144425475855 :
njaa iyo
2026-06-25 23:17:15
2
ayubumohd
ayubumohd :
Mungu amjlie afike wanaume tunapita mengiiii
2026-06-25 20:09:29
6
mchina..henna
mchina..henna :
Allah azidi kuwabarik Wanaume 🥹
2026-06-26 08:07:49
0
user4818836187403
user4818836187403 :
hii ndio kula kwajasho halisi
2026-06-26 05:35:24
1
imtiyaz_mohanmed
Imtiyaz Mohanmed :
Ss polo hilo nani hawez
2026-06-25 22:44:48
0
mussaothman43
Mussa Othman :
hiyo riziki ngumu sana
2026-06-26 06:31:52
0
aymkhm
TESHO. B. DICORETION :
Mashaallah hongra ndugu toa no zake za sim
2026-06-26 06:14:41
0
dullabay
Abdullah :
jamaa mwamba
2026-06-25 17:19:11
1
user.makamegozi
Makame :
kila hatua dua
2026-06-26 04:31:18
0
mchina..henna
mchina..henna :
daaaaah
2026-06-26 08:06:47
0
user4603275259343
Tulika :
ningeshangaaa awe mzanzibar kumbe ni msukuma hapo sawa ngoja anywe maji kwanza
2026-06-25 21:05:59
2
juwairiya0081
juwairiya hashoul :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰 mwanamme uyo
2026-06-25 22:47:14
1
tembo_modern_furniture
TEMBO_MODERN_FURNTURE🇹🇿 :
Ata ukichukuwa wazanzibar 100 akuna ata mzanzibar mmoja anayeweza kubeba big up sana 💪💪💪💪💪💪💪💪
2026-06-25 20:33:48
0
khizer.daud0
ķĥáĺèed :
yaan mnampa elfu 20 si ukhanithi huu
2026-06-26 04:27:15
2
kabaeja
kabeja :
chalenge za kiume
2026-06-25 20:50:02
1
To see more videos from user @abrahmapenzitv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About