@jonstarofficial: Wazazi Wangu Baba na mama Mnaniaibisha Kila siku kugombana Gombana, Sio vizuri. Oya ITV imetupa vitu adimu Tuliokuwa kipindi cha ITV 2 iaanza Tujuane 😃 🟩🟨🟦 #HawavumiLakiniWamo #SisiTumeanza #Nostalgia #Daima
Delvis Kasaloo
Region: TZ
Thursday 25 June 2026 11:42:03 GMT
Music
Download
Comments
BeingKenzo__ :
Daaaaaah nimekumbuka mbali sana🤣
2026-06-25 18:50:48
19
mpelelezi ila tapeli :
kama uliiona hii hawavumi lakini wapo haloo tumshukuru Mungu
2026-06-26 04:54:29
16
LiTGoDTricky🔥 :
Hivi haikuaga offisho hii ngoma nii download🔥🔥🔥Malejendi
2026-06-25 18:33:28
12
lee_multistore :
mi hadi sasa hivi nausikiliza uku nakatika🥰
2026-06-25 18:23:10
7
Mariam kisasa :
jaman baba yangu mungu akupe kauli thabit
2026-06-26 08:17:56
9
Sina mambo :
tumetoka mbali mungu atupe uzee usio namaradhi😑
2026-06-25 19:30:44
10
Mama Triple H :
Nilikuwa nakipenda hiki kipindi nachekaaaa🥰🥰🥰🤣
2026-06-26 07:22:40
5
Anuwary Baruti :
Hahahahaha...Hatar sana hii kitambo mnooo
2026-06-30 07:33:25
1
sirngimba :
mwamba na vest yake 😅 old is gold
2026-06-25 18:44:14
5
mama wa3🇧🇬🇹🇿 :
daah kitambo
2026-06-28 06:53:14
1
Hoza Ayubu :
boss kwani Ile video Yao ingine umeifuta mbona siioni kwenye post zako boss?
2026-07-03 20:57:00
0
BONGO ZA KITAMBO :
kipindi hicho cha hawavumi lakini wamo
2026-06-26 09:45:59
1
halima IDRISA omary :
daaaaa mwaka 2000 iyo tunacheza goroli na vichupa
2026-06-28 19:03:18
2
mlost99 :
😃😃😃ITV ndo ina vipindi ambavyo toka vimeanza hajiwahi kubadilika
2026-07-02 16:50:42
1
Jafar Zimba :
We jamaa hizi unazoa wapi dah long time kweli 😂😂
2026-07-02 20:32:57
2
Twalib Tz :
tujiulize kwa nn aliachwa acheze mwenyew ☺️☺️
2026-06-27 16:31:29
2
Phillip Zanzibar :
uyo jamaa alovaa vest ya blue nlkuwa namuona ka shine knoma😁😁😁
2026-06-26 16:59:18
1
engineer :
kipindi hicho mafuta ya kupaka hakuna
2026-06-26 18:59:46
1
saidymukhtar :
sahaa imeazia mbali xana daaah
2026-06-25 18:42:01
1
jameslucky801jameslucky801 :
2006 baada ya marudio ya maigizo jumamosi mida ya saa kumi namoja ivi dab nakumbuka mbali
2026-06-30 15:40:32
2
Mum Godwill :
jmn tumezeeka sas
2026-06-26 20:32:41
2
Rashid Abdallah :
yani hii ngoma km ulikuwa unaiona ITV afu bdo uko nyumbn ni matumizi mabaya ya madaraka😃
2026-07-07 15:45:13
2
To see more videos from user @jonstarofficial, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.