Mimi mteja akiingia hajasalimia Wala kuuliza chochote na mimi siongei Wala sisimami...
akisema kuna kitu nilikuwa naangalia sijakiona namjibu sawa, naendelea kukaa Tena nachukua na simu yangu naanza kupitia TikTok
2026-06-25 19:56:42
410
Mile Queen :
Nanyege sana Leo hii😂
2026-06-25 18:52:11
66
Dr. Kaole 🥼🩺 :
wanaboa sana
2026-06-25 16:24:51
447
Didiy outfits🛍️ :
Mwengine karibu hajibu kitu
2026-06-25 19:13:14
214
viniishemdoe :
unaweza sema ni mwanga nn
2026-06-25 19:19:29
44
josh_stores :
Siwezi Kunyima like ❤️Aise🔥
2026-06-25 12:23:14
108
REY ♈️ :
wananikeraga
2026-06-25 16:28:27
34
Naksh Habiba 💖 :
10/10 mkuje
2026-06-26 09:14:00
15
John John :
wanakela sana wengi wachawi
2026-06-26 05:24:56
92
reny kitchen utensils 🍴 :
jana tu nimempata mzee alikua anaangalia tu
2026-06-26 09:23:10
9
Tinki Singh :
Sure 🤣
2026-06-27 07:26:55
6
kelvin khna 45🔥🔥 :
kweli kak
2026-06-25 17:16:56
6
willyjambo75 :
mteja ni mfalme lakini 😅
2026-06-26 06:08:43
7
Dachie collection :
That customer is me😂
2026-06-25 20:04:08
5
Dooh :
wana kuwa jau sana broo
2026-06-25 16:50:33
23
K.K.H🤑 :
nawamaind sana kama mizimwi😁😁😁😁😁🙌🙌🙌
2026-06-26 12:40:45
6
attu mtweves :
utasikia nalud
2026-06-26 13:57:44
5
A🌹Mi🦋noz🌹 :
kabisaaa yani tena mwingne anaingia anaongea na simu mpak anatoka🙌
2026-06-25 21:39:16
49
ayra ✨🌸 :
me Huwa wnaniuz
2026-06-26 05:39:45
8
To see more videos from user @jeff_tronix_25, please go to the Tikwm
homepage.