@abuu_zanzibar: Kuna njia nyingi tu za kufanikiwa maishani. Njia hizo ni 1.bahati, 2.kipaji 3.bidii yenye akili!, Jitafute ulipo! Huna bahati, huna kipaji halafu unalala mchana? so anza sasa...#education #englishclass@Judacos @Barru foundation @Vasco as vasco