@mwenge.sda.church: Shule ya Biblia Wakati wa Likizo, Siku ya Nne. Leo timu ya Mawasiliano ya Kanisa la Mwenge imeongozwa na watoto wenyewe kwenye msimu huu wa Shule ya Biblia Wakati wa Likizo. Tarehe 21 hadi 27, Juni 2026 ni wakati mzuri kwa mtoto kuwa karibu na uwepo wa Mungu. #mwengesdachurch #vbs #biblia #MWENGESDACHURCH
Mwenge SDA Church
Region: TZ
Thursday 25 June 2026 13:59:18 GMT
Music
Download
Comments
Eng.Salenge Jr. :
Waow👏👏👏 safi kabsaa, vijana watu wazima wamekuwa wasumbufu sana kwenye kuhudumu ibaadani, hii ni njia bora kabisaa tena safi sana , mbarikiwe 👏🏻👏🏻👏🏻
2026-06-26 13:42:40
5
zay kuxsh cruzy :
Jamn et makambi ya mwenge yanaanza lini
2026-06-26 08:17:13
4
martha godson :
aloooooooooooo i love that
2026-06-26 06:53:26
2
JOHN WALKER :
I love it ❤️
2026-06-26 08:18:15
1
Maningu MEDIA. :
kazi hii naipenda
2026-06-26 08:25:57
1
Blakiii :
Hii mwenge iko wapi jameni, lakini yatamka ni kama iko Tz.
2026-06-26 17:12:51
0
V D :
hongereni sana vijana.
2026-06-26 05:39:04
3
lucy :
mungu awatunzeee vijanaaa
2026-06-26 08:00:08
1
Pimbimless :
wooow😊
2026-06-26 06:52:02
1
Gab_Jr001 :
Mungu awatunze
2026-06-26 06:24:44
0
george :
Amen🙏🙏
2026-06-26 05:06:22
1
g.nyegu :
Safi Sana
2026-06-26 06:59:05
1
SUNGA👑📸 :
I feel goosebumps 🥰🥰this is sooo cute
2026-06-26 05:56:04
4
Babito :
great work boys
2026-06-26 08:50:39
1
Jay_jay seaman :
amazing 🙏
2026-06-25 22:54:29
1
special quotes Pst :
I love this we need to nature our young generations
2026-06-26 07:44:47
1
vinnmedia046 :
I must visit this church one day 🙏
2026-06-25 22:38:24
1
Anny :
waooooh 💓💓
2026-06-26 06:48:34
1
MBEROYA :
amazing 😍🤩
2026-06-26 00:00:34
1
Enock BITANWA :
Woww
2026-06-25 16:11:20
1
Anna Mwakanyango78 :
Hadi raha
2026-06-25 20:17:50
1
PR.ROBZY256 :
Happy Sabbath
2026-06-26 21:37:56
0
D_photographer📷VIBES :
wow🫡🫡🫡🫡
2026-06-26 21:46:39
0
germoss :
naomba camera kama hii niko congo mjini beni
2026-06-27 09:24:23
0
WESLEY@047 :
happy sabbath brethren
2026-06-26 17:26:35
0
To see more videos from user @mwenge.sda.church, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.