Wallahi nimejiuliza Hilo swali leo,au mimi ndio Tatizo🥺
2026-06-27 20:51:45
34
dimpo_cabathegone :
mmmmmmmh
2026-06-28 14:01:37
1
xolita queen :
this is my situation now😂😂 hadi nimeamua nikae alone tuu make hadi nahis myb mm ndio problem
2026-06-28 00:25:30
13
zabiyuna :
Huyo ni mm najion mm ndy mwenye tatizo🙌
2026-06-27 16:08:57
33
swabraly :
muendelezo wa huyu mdada plzzz
2026-06-28 14:26:34
1
agripina :
Moja kwamoja status
2026-06-28 11:25:56
2
♓️ :
Uyu atakua ni Pisces kabisa 🥹🥹
2026-06-28 13:25:46
2
@enockjumannsjbahhskksnejsjndm :
Jamani mim natafuta mpenzi
2026-06-28 09:41:29
3
lily kayuni :
my situation mungu naomba nikumbuke namim nipate mume
2026-06-28 11:10:31
2
ms😊smile💕 :
Mm cim yangu ikiwahaina charge na hakuna umeme nakuwa na stress 🥺🥺
2026-06-27 20:04:52
6
Pretty Khawaa :
wallah hii n yngu
2026-06-28 05:21:19
2
Debby _girl 🤎 :
ndomaana saiz niko busy na maisha yangu
2026-06-28 09:35:22
1
zurinaterry :
wallah huyu n mm kabisaaaaaaaaaaa
2026-06-27 21:15:04
4
selestinpaulmtau :
daah huwa hii kitu inaumaga sana
2026-06-28 09:22:27
1
@triphniajovini1 :
mahusiano ya familia sina, ila ya mwanaumee halooo nashukuru Mungu
2026-06-27 22:47:25
4
cute lizzy 😍 :
ani mimi siwez kusema mengi ila mungu ndio anajua kaniandalia nini
2026-06-28 06:14:55
5
Light :
Nimejisikia vibaya jmn ujue kujihisi Huna bahati Kama una nuksi yaan Unajisikia vibaya sana sana🥹💔
2026-06-27 23:03:38
9
Hellen Store :
Umejaribu kumpenda anaekupenda sana utanishukuru ila uking’ang’a na unaempenda tatizo pia selflove yako binafsi ni muhimu hata utwengwe na dunia furaha yako binafsi ni muhimu
2026-06-28 04:03:43
0
Ney Joy :
nngecoments kitu ila bas
2026-06-28 06:04:17
0
Kevin Philberth :
pole sana mungu anaenda kukutendea makubwa
2026-06-27 14:47:07
2
## :
😥😥😥😥😰😰😭😭😭😭😭😭 Dada umenigusa saaana pole haki pole saaana hujapata mtu sahihi.
2026-06-28 00:29:33
1
shuu♥️743 :
tuwe marafiki tu kipenz maana ww tunazaliwa na baba Moja mama moja
2026-06-27 05:24:17
3
gelvaslalisa :
hayo ni maswali yangu ya kila siku
2026-06-28 04:43:37
1
Ally Tituye :
Daah wengne tunatafta tunapata yanayowaz pesa tu
2026-06-27 16:30:25
1
To see more videos from user @mr_sele1, please go to the Tikwm
homepage.