niwe muwazi naitamani coper kama hii kila mtu ajue mimi ndy mamaaa ila wananificha zaidi ya bangi anapost kiwakilishi tu ety (i love you my babe)🥹 napata tabu kuwaaminisha huyo babe ni mimi jamani😭
2026-06-25 18:47:42
18
l'm popy🦋 :
uy mwanao au???
2026-07-12 11:01:14
11
marrfany :
wamefanana jaman au mm naona vibaya
2026-06-28 07:39:55
8
rebeccajuma106 :
mulipotea 🥰🥰🥰🥰
2026-06-25 15:43:34
13
Tyla :
mtu na mbaba wake hatari
2026-07-16 13:14:39
6
Bint Canizio :
Wamehamia kwa watoto wanataka heartbreak hadi malaika ☹️☹️
2026-06-26 19:19:49
5
Ms martha :
nimesoma comments mpaka nimekosa Cha kusema
2026-06-27 04:11:21
7
Leila :
naona aibu mimi jamani
2026-06-27 16:24:01
6
Michael James :
mbn kama mnafanana ivo
2026-06-25 18:15:49
5
fatnah💞🥰 :
tulio kimbilia comments tujuane
2026-07-25 02:02:15
1
HAPPINESS SAID :
mungu nifundishe kunyamaza
2026-07-16 10:23:27
2
To see more videos from user @mrmrsnumay, please go to the Tikwm
homepage.