@tundumaicon: Too 😔 💔#fyp #goviral #memes #trending #tiktoktanzania🇹🇿

🦅🔥 『༒ TUNDUMA ICON ༒』 🔥🦅
🦅🔥 『༒ TUNDUMA ICON ༒』 🔥🦅
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 25 June 2026 15:00:42 GMT
45468
1529
71
234

Music

Download

Comments

user9106750361213
nice.mercy🥰 :
bora bosss unaskia namby mkuu🥺🤌😂
2026-07-19 11:46:45
11
being___us
Bae❤️🦋 :
nlikuw nikimtafta anajibu nambie mama angu sahv nikimtafuta anajibu wozaaa nipange😂😂😂💔🙌 oyaaa mapenz ni usjinga😂😂💔🙌
2026-08-22 14:41:14
3
angeltemba6
💎Golden gem🌼 :
asee iloo boss niliitwa mpk nikaskia bard akt nilizoea kuitw love mamy
2026-07-27 11:35:15
2
ummybarbie
Ummy🌸 :
naitwa mwanangu mpaka naomba niitwe vizuri lakin wapi😂😂
2026-08-02 05:11:11
3
cute.4534
katoxxxy :
hivi wanafanyaga hivy kwann yan ili ujisikie vby au wanakuwa washakuchoka😭😭😭😭
2026-07-29 07:17:05
2
user724759679746
Sarah john :
mie nilipiga sim nikaambiwa nambie mwanao duh mie shawaaaaaaa🤣🤣🤣
2026-08-15 11:44:25
1
reelove54
🦋🦋 :
ndo hali ninayopitia mimi😂😂😳
2026-07-06 12:50:22
7
geekaumbya
Gee m²🙏 :
Me toka mwanzo aliniitaga boss, tajir , mkuu kumbe alinichoka toka mwanzo , inauma 😭😭😭😭😭
2026-08-19 07:59:02
4
hammy.cinty
Mamy 🫦 :
Bora nyie mnaitwa wakuu mm akipiga smu anaiita jina langu😭😭
2026-08-29 15:20:41
0
user528197967571
user528197967571 :
Kuna huyu Wang aniita mshikaji wangu😂💔😭
2026-08-18 17:28:59
1
maraprincess.01
mara princess 👸♥️ :
me naitwaa mkuu cjuii wann😂😂😂
2026-08-17 08:11:36
2
marryclaudian
marrycute :
mi ndo naitwa tajiri siku hzi hadi nishazoea🤣🤣
2026-08-22 08:09:11
2
remgachy214
Becky :
😅😅😅Mimi majina yote naitwa tajiri boss mkuu yaan mwanangu mshikaji nashindwa kuelewa
2026-08-27 10:49:08
2
user9821081226657
thuwayath 🤍🩷 :
boss gan ten jmn
2026-07-07 14:37:50
1
user318877213620
kamammy😍♥️ :
😂😂...ko mnataka kusemaje mim saiz naitwa utasikia nambie mkuu,boss,tajir mnisanue jomon
2026-08-21 17:12:21
1
dorcee45
dorsia❤️‍🩹🌷🌿 :
na akikuita ww je🥹🥹😂
2026-06-29 06:22:05
1
giftchristopher522
Gift Christopher :
ina kwaza san mar nambie gift sasa kwanin uniite jina la kwenye kitambulisho cha NIDA jaman ahaa
2026-08-24 08:53:16
0
ymmy_20
yummy 😋 :
kwan tajiri au boss ni jina baya jmn mnavituko sanaa😅
2026-08-22 18:34:53
1
user1216563688138
user1216563688138 :
ishanikuta kbs mm yan daaaah j4 popote ulipo. 😊☺️
2026-09-08 15:13:43
0
iqtaderqueen
iqta der queen :
au anakuita "wewe"
2026-08-23 14:07:23
1
annemarlon21
zisha khans :
wanaumia watt
2026-09-05 17:29:18
0
bright_momy_og
jay bright🥰🥰 :
niambie familia🤣🤣🤣🤣nambie mwanetuuuu nachoka mim
2026-08-31 10:32:29
0
salome.shango0
Klomebeiby💝 :
😆 my tafuta pesa mapenz waachie mait
2026-08-23 16:26:29
1
user6227410550538
stella😇 :
niongee kwa kusimama au kwa kukaa😩😂😂
2026-08-24 14:15:49
2
kiddygal07
kisyosyo girl :
yan u acha ty au mwanangua bestie au bff😅😅
2026-07-09 05:01:19
1
To see more videos from user @tundumaicon, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About