Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@mht__ibrahim3:
Mahamat•Ibrahim
Open In TikTok:
Region: TD
Thursday 25 June 2026 15:39:57 GMT
155
27
1
5
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0.6MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0.6MB
)
Watermark .mp4 (
0.6MB
)
Music .mp3
Comments
oumar_____ Brahim :
ما شاء الله🤝🤝🤝
2026-06-25 20:30:35
0
To see more videos from user @mht__ibrahim3, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
1️⃣ Wekeza kwenye mtazamo wako (Invest in Your Mindset) Jinsi unavyoamini, tabia zako na unavyojiona (self- image) vina mchango mkubwa katika mafanikio yako. Kama unaamini unaweza kufanya makubwa, utaanza kutenda kama mtu anayetarajia mafanikio. 2️⃣ Anza Kuchukua Majukumu ya Maisha Yako Acha kulaumu serikali, watu, mazingira au familia yako. Anza kufanya kile unachoweza na ukubali kwamba maisha yako ni jukumu lako. Wewe ndiye mwenye uwezo wa kubadilisha hali uliyonayo. 3️⃣ Jiweke Kwenye Mazingira ya Watu Wanaowaza Malengo Makubwa Jiambatanishe na watu wanaokutia moyo kukua, kufikiria kwa kiwango kikubwa na kuchukua hatua. Mara nyingi kiwango chako cha mafanikio huathiriwa na watu unaotumia muda mwingi nao. 4️⃣ Penda Kusoma Vitabu Jim Rohn aliwahi kusema "Elimu ya darasani inaweza kukufanya upate riziki, lakini elimu binafsi itakufanya uishi maisha unayoyatamani." Tafuta vitabu vinavyokuza uwezo wako binafsi, maarifa ya kifedha, biashara, uongozi na maendeleo ya maisha kwa ujumla. 5️⃣. Usiogope Kujaribu Hofu ya kufeli ndiyo huwazuia watu wengi kuchukua hatua. Ukweli ni kwamba kila mafanikio makubwa huambatana na majaribio mengi na makosa mengi. Usiruhusu hofu iwe sababu ya kubaki sehemu moja. 6️⃣. Epuka Visingizio Visingizio kama "sina muda", "sina mtaji", "sina watu wa kunisaidia" au "sijui nianzie wapi" vinakufanya uendelee kubaki ulipo. Ubongo unapenda kutafuta sababu za kutokuchukua hatua. Jifunze kutafuta suluhisho badala ya visingizio. 7️⃣. Thamini Muda Wako Muda ni rasilimali ambayo huwezi kuirejesha ukishaipoteza. Tumia muda wako kujifunza, kujenga ujuzi, kufanya kazi na kutengeneza maisha unayotamani. Usipoteze miaka yako ya 20 kwenye mambo yasiyo na mchango kwenye maisha yako ya baadaye. 8️⃣. Jenga Nidhamu Kuliko Kutegemea Hamasa Hamasa huja na kuondoka, lakini nidhamu hukufanya uendelee hata siku ambazo hujisikii kufanya kazi. Mafanikio ya kudumu hujengwa na tabia za kila siku, si hisia za muda mfupi. 9️⃣. Toa Thamani Kwa Wengine Kadri unavyoweza kutatua matatizo ya watu au kuwasaidia kufikia malengo yao, ndivyo thamani yako inavyoongezeka. Na kadri thamani yako inavyoongezeka, ndivyo fursa na kipato 🔟 Tafuta Mentor Mentor ni mtu ambaye tayari amepitia njia unayotaka kupita na amefikia matokeo unayotamani kuyafikia. Kupitia mentor unaweza kujifunza kutokana na uzoefu wake, kuepuka makosa mengi yasiyo ya lazima na kufika mbali kwa muda mfupi zaidi. Miaka yako ya 20 ni kipindi cha kujijenga. Soma, jifunze, jaribu, kosea, rekebisha na endelea mbele. Maisha unayotamani baada ya miaka 10 yanajengwa na maamuzi unayofanya leo. Kwa Elimu zaidi ya BIASHARA tuma neno biashara kwenda namba +255.658.930.989.#fyp #biashara #success #entrepreneurship
Inflatable Sofa with Footrest KES 3,499/- Dm us or WhatsApp: +254 701 555 771 Same-day delivery Nairobi. Delivery across East Africa. We are located in Nairobi CBD, Tsavo Road, Maximum Business Center, MM13 #Kisasahome #airsofa #inflatablesofa #fyp
Nicosia #cyprus🇨🇾 #nicosia #europa🇪🇺 #nicosiacyprus #pakistani
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy