@visitlakezone_: Tunarudi tena hii july Kama ulikosa hii ya april Kuna nafasi mbili za safari ya july Gharama ya safari ni Tsh 400,000/= Na safari ni tarehe 12 mpaka 15 july Gharama inahusisha Usafiri kwenda na kurudi (kuanzia mwanza) Hotel Breakfast Tour Tupigie au WhatsApp +255622616467 #livehighlights #creatorsearchinsights