@zayracakes_giftsandmore: Asanteni sana kwa kutuchagua na kuendelea kutuamini wateja wetu😇🥰🙏. Karibuni sana Zayra Cakes tunatengeneza keki za aina zote kwa shughuli mbalimbali: 🎂 Birthday Cakes 💍 Engagement Cakes 💒 Wedding Cakes 👶 Baby Shower Cakes 👩🍳 Kitchen Party Cakes 🎓 Graduation Cakes 🏢 Corporate Cakes 🎉 Celebration Cakes na designs za kipekee kulingana na ombi lako. Pia tuna 🎁 Gift Packages 🥟 Bites na Snacks Karibu tufanye siku yako iwe tamu na ya kukumbukwa. 📍 Magomeni, Dar es Salaam #kitchenparty #cake #zayracakes