@ostazjuma: Hivi kweli wewe ni mhadhiri? Unaenda Singida unakaribishwa kwa wema, unapewa chakula na kuheshimiwa, halafu unapata wapi ujasiri wa kuanza kuwasiliana na mke wa mtu aliyekutendea wema? Unamshawishi amchukie mume wake na kuanza kuomba talaka ili baadaye umuoe! Je, huu ndio Uislamu kweli? Kumbuka pia kuhusu mama wa Canada. Jaafar, ulichukua fedha zake ukidai unamfanyia matibabu ya kiroho, lakini leo mama huyo analia na kunipigia simu akilalamika. Umewauzia Waislamu majani ya miembe na migomba ukiwaambia kuwa ni mti mkuu. Pia mekua ukiuza dawa umeweka Viagra ndani ya dawa hiyo na kuwaambia watu kuwa ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume. Jaafar file lako ninalo lote. @OSTAZJUMATV #ostazjumatv
Mungu atakuangamiza kwa Rehema zake aaaamina laaana za mungu zikushukie haraka iwezekavyo 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
2026-06-26 04:11:07
13
Aytam madrasa :
eee mungu mjaalie kish asimjibu
hiyo hadithi inakuhusu ww fisadi
2026-06-25 16:37:47
10
New jackytito :
Weee babaa wewe Allahh akulipe kwa hayo unayoyafanyaa ..,,, 🙏
2026-06-26 04:01:21
4
twofemmethoughts :
subhallah
2026-06-25 16:38:42
2
Hudhaifa __10 :
Itawajia watu katika Umma wangu miaka ya udanganyifu, ambapo mwongo ataaminiwa, na mkweli atakufuru, msaliti ataaminiwa, na mwaminifu ataonekana msaliti, na mdhaifu atasema. Iliulizwa: "Ni nani asiye na maana?" Akasema: "Mtu asiye na maana anayezungumzia mambo ya umma."
hadithi: Sahihi
الراوي : أنس بن مالك وأبو هريرة | المحدث : الألباني | المصدر : صحيح الجامع | الصفحة أو الرقم : 3650📚📖✍️
2026-06-25 20:43:54
7
Aytam madrasa :
utajutia hayoooooo
2026-06-25 16:36:25
6
Dr. Abukhalid :
we malaika.ww mtume au mungu ww
2026-06-26 04:45:39
0
fimboyababu :
hiyo gadithi inakuhusu ww
2026-06-26 11:20:29
1
Aytam madrasa :
ipo siku utajutaaaa
2026-06-25 16:36:35
2
BCY MAN :
اللهم أقم الساعة huyu shekhe nakumbuka hadidhi ya mtumi RUWAYBIDHA allah muhifadhi kishk na huyu fidhuli
2026-06-25 17:43:09
2
Mume Wangu :
ongea broo tujue ukwli baba na kukubali sana tuu mm
2026-06-25 17:48:30
3
saniayusuph4 :
ipo siku utasema I've kwa nn nilifanya yote haya haya ww baba
2026-06-26 03:53:07
1
muskan :
weeee
2026-06-26 02:51:27
1
Yussuf :
Ehee tukusaidieje
2026-06-26 10:41:22
0
saphy @ :
Mnafiki
2026-06-26 11:37:09
0
hidayasuleiman531 :
mungu atakufedhehesha ww
2026-06-26 17:12:48
0
Hope :
kwani kunani
2026-06-26 12:38:42
0
hassankombo681 :
Allah anakuona we baba
2026-06-26 04:52:01
0
Nasserbizzo :
TOA FILE BROTHER
2026-06-26 05:04:57
0
fettysheka :
Kama unamdhushia Allah hatakuacha salama wallah
2026-06-26 06:37:18
0
Chief_D_Agribusiness :
Kaka basiiii 🙌🙌🙌🙌🙌inatoshaaaa duuuuuuh
2026-06-26 06:49:43
0
aziz mkumbo :
Inatusaidia nini iyo habari
2026-06-26 07:10:26
0
Mume Wangu :
ustazi uongea Ili tujue sawa broo
2026-06-25 17:47:42
0
To see more videos from user @ostazjuma, please go to the Tikwm
homepage.