@bongofive: Mbunge wa Kigoma Mjini, Baba Levo, amesema amevunjiwa heshima na kauli iliyotolewa na Meya wa Kinondoni, Songolo Mnyonge, kuhusu hoja aliyowasilisha Bungeni kwamba waendesha bodaboda waliosaidia CCM katika uchaguzi uliopita hawapaswi kuongezewa kodi.

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 25 June 2026 16:35:54 GMT
45509
1600
46
25

Music

Download

Comments

user5022634661530
knows tz :
ila baba levo ni smart sanaa mungu ukubalik uwe ata wazili mkuu umenyooka sanaaaaa🔥🔥
2026-06-25 17:48:32
15
dalali.mecky.taba5
Dalali Mecky Tabata :
genius bba levo.
2026-06-25 20:30:10
1
maranya03
maranya :
mungu ikikupendeza hata kwa badae mpitishe awe namba moja wa nchi
2026-06-25 17:45:05
6
gg_trends_outifits
GG TRENDS OUTFITS :
2026-06-25 18:16:02
2
user8723489111006
ally nasso :
baba Levo akili nying
2026-06-25 18:04:32
5
samiramussa10
samiramussa785 :
B levo Bar songa mbele
2026-06-25 17:27:09
6
sonara899
sonara :
B levo mtu wa kazi nakukubali mwamba 💪💪
2026-06-25 21:19:03
0
leyumbe
Shytown :
2026-06-25 17:49:53
1
amosmichael786
amos Michael :
baba Levo sikujuwa kama ulikuwa safiii sana
2026-06-25 21:05:03
0
super.kings.fashi
super kings fashion :
kumbe ni wa 7
2026-06-25 17:37:03
1
nabilharji
Young Mill Mill NATIONAL MUSIC :
baba levo smart sana....
2026-06-25 16:53:56
1
jerome59222
JÉRÔME%%59 :
mmmm
2026-06-25 16:55:16
0
allan.moko
Allan Moko :
mzee nakuombea kwa mungu uwe Rais wa tz apo badae baba levo
2026-06-25 20:26:40
0
christopherwanzag
editha :
naelewa
2026-06-25 19:52:18
0
mgeninumbi
Mgeni Numbi :
baba levo mtu nanusu💪💪💪
2026-06-25 20:21:01
0
emmanuel.peter87
Emma%Boy% :
nakubal👍👍
2026-06-25 19:52:21
0
ngaka.decor
NGAKA DECOR :
baba levo akili nyingi
2026-06-25 18:09:39
6
wamlevimasaka
wamlevimasaka :
tarifa
2026-06-25 18:50:25
0
woka1640
Woka :
AKILI mingi
2026-06-25 20:41:41
0
salva_g_classic
Salva G Classic :
alafu mm ni mbunge
2026-06-25 18:47:18
0
chitattoo_
chi tattoo :
MH ..smart sana 🫡
2026-06-25 18:58:20
0
super.kings.fashi
super kings fashion :
nimekuwa wa 5
2026-06-25 17:36:40
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About