@evodiachambulikazi: Wanaume acheni kuhudumia watoto mnaonyimwa nafasi ya kuwa karibu nao

Evodia Westoni Chambulikazi
Evodia Westoni Chambulikazi
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 25 June 2026 16:46:47 GMT
51537
1840
135
256

Music

Download

Comments

belya790
belya :
haki ya Mungu ni ukweli kabisa nimeona kwa macho
2026-06-26 02:32:54
13
kalenga.jean1
KALZ JEAN :
Asante dada,tuma number ya M-PESA, please!
2026-06-26 05:31:01
7
bushlife74
Amalinze the Cat. :
Hayo ni mawazo Yako,yes nayaheshimu. I am a living testimony, atakaeumia ataumia,Mimi nimesomesha watoto wangu wawili ambazo sikuwa na access nao kwa miaka 12,wamemaliza shule na sasa wapo kwangu Wala hawataki kusikia chochote kuhusu mama yao. Sijawasomesha ili wanisaidie,hapanaaa. Nimewasomesha ili wajisaidie katika maisha yao. I am a proud Dad!
2026-06-28 16:22:58
5
evodiachambulikazi
Evodia Westoni Chambulikazi :
Video nzima ipo youtube
2026-06-25 16:49:41
6
zelda.bukama
Zelda Bukama :
Tokaapa
2026-06-25 18:47:06
2
sayyidnaomary
شمهروش ملك من ملوك الجن :
mimi siwezi owa mwanamke mwenye mtot hatakam huyo mtot ni wangu
2026-06-27 04:08:32
1
georgemchujah
georgejonas#mr tinga# :
Tumepata msemaji!, ahsante sana wew ni mama yangu kabisaa!...
2026-06-26 12:37:56
6
sweetybaby475
@Pendova🎀🦋 :
aache2 mbn maisha yanaendelea
2026-06-26 08:30:05
0
joseph.zaharani
Joseph Zaharani :
kweli dada mm yamenikuta sana
2026-06-28 12:33:53
2
lubabasha46
lubabasha :
umesema maneno mazito dada
2026-06-27 04:55:48
3
phone.case073
phone case :
Asante sana hiyo nikwel nimeshuhudia
2026-06-26 06:52:13
5
user7779513680205
dani :
Mungu akubariki sana dada yangu
2026-06-26 06:33:11
3
emeldamulenga703
onorina :
asante.mama
2026-06-26 04:12:59
1
giyaya05
ELON PROFILE :
👍👍👍👍dada Mungu akupe maishamakefu
2026-06-26 11:18:25
2
mashayosamwel
mashayo samwel :
ukwel kabisa
2026-06-26 22:55:21
1
rojaautpart
ROJA AUT SPEAR CAR :
asante kwa ushauli
2026-06-27 06:46:44
1
mama68700
mwaduda🥰❤️❤️❤️ :
nikwambie ukweli umeniudhi mwanamuke mwenzangu🙏
2026-06-30 16:37:18
1
iddimulunga2
iddimulunga2 :
😎😎😎😎 safi sana bint naunga mkono hoja yako tupo pamoja
2026-06-30 04:25:10
1
ramadhanijumanne1
me :
mimi niliacha muda mrefu sana baada ya kuona nanyimwa kuwa karibu na mwanangu
2026-06-29 05:45:46
6
user2694078191331
user2694078191331 :
hayo yapo dada uko mbele ya mda nakubali
2026-06-27 08:39:50
3
malima.jamuhuri
malima jamuhuri :
nikweli kabisa dadaagu unachokisema niukweli Asante kwaushauri wako kuanzialeo sihudumiitena mungu akubaliki🙏🙏
2026-06-26 00:19:04
3
kpizzokp
K pizzo kp :
Shikamoo dada
2026-06-26 03:06:50
2
rich.mans.collecti
Rich man's collection kongowea :
na hapo umeongea
2026-06-26 04:31:49
2
apple.user569342
Mogack Junior :
Ukweli ndio huo dada
2026-06-28 05:53:31
1
chollo_young1
chollo_young1 :
NAKUELEWA SANA NDO NAYOPITIA MIMI HAYO
2026-06-25 18:07:00
3
To see more videos from user @evodiachambulikazi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About