@festongadaya: Kijana miaka 28, hana historia ya ugonjwa wa moyo, alifika hospitalini baada ya kunywa energy drinks 5 ndani ya muda mfupi. Je, energy drinks zinaweza kuathiri moyo? Tuangalie kilichotokea kwenye case hii na somo tunaloweza kujifunza. Angalizo: Hii ni case report ya mgonjwa mmoja, hivyo haiwezi kuthibitisha kuwa kila mtu atapata madhara hayo, lakini ni somo muhimu kuhusu matumizi ya energy drinks kupita kiasi. #swahilitiktok #tanzaniantiktok #kenyantiktok #kenyantiktok๐ฐ๐ช #tanzaniantiktok๐น๐ฟ
Festo Ngadaya
Region: TZ
Thursday 25 June 2026 16:49:04 GMT
Music
Download
Comments
๏ธ :
kila kitu ukizidisha ni hatari...tatizo siyo energy tu....follow instructions.
2026-06-25 18:40:26
48
clido :
2026-06-25 21:22:23
30
kemidollar_ :
Did he made it?๐ฅน
2026-06-26 20:50:01
0
yu๐ :
ila energy ni jini jamani๐ญ
2026-06-26 06:45:48
15
saidy gimenez :
nashukuru mungu niliweza kuacha nlikua nisipo kunywa energy drink natetemeka kbsa
2026-06-26 18:02:32
2
Malkia wa fursa ๐น๐ฟ :
Umepungua dokta
2026-06-26 16:30:37
1
malieta mashimba :
Thanks for educating
2026-06-25 18:23:18
5
Mechanicien Sans Frontier MSF :
I only take energy drink mixed with water 750 ml water 500 ml energy drink. If I take it dry even if morning I'll have a big problem sleeping.
2026-06-26 02:24:59
7
AZAMTS25 :
hongera sana brother energy wala hata soda na juisi za viwandani sio salama kabisa
2026-06-25 18:27:55
17
Moraka :
Nani ni responsible kwa ujumla kuangalia afya za raia ??
2026-06-26 04:27:13
3
UNKNOWN :
Energy sawa ๐
2026-06-25 20:10:44
1
Mwajabu Kiango :
ahsante kwa mafunzo kaka. Mungu akubariki
2026-06-26 03:18:17
3
chief madiba :
i drinking one energy per day
2026-06-25 18:24:12
0
SIR CHARZ :
nikwel kaka mimi hapa ni shuhuda wa jambo hilo kuna aina moja ya energy hapa tz ni hatar sana
2026-06-26 14:21:32
0
Abuu maryam :
boss hivi ulisoma st Francis?
2026-06-26 05:14:44
4
hilda :
mimi sitaki hata kuiona wala kuijaribu
2026-06-26 15:33:38
2
2 20 4 6 :
one day Mr.Gabriel .E.B MD,phD ๐
2026-06-26 12:13:11
0
DOKTA NOEL ๐น๐ฟ :
Embolism
2026-06-26 07:04:50
0
Juma Claud :
sema unajua
2026-06-25 18:46:50
1
TEKASHI ICE๐ง :
Energy sio nzur tena zinaua hadi figo
2026-06-26 14:32:45
1
Redberries๐ :
Siku 1?
2026-06-26 08:27:54
1
Exodus :
vipi FAB inachangamoto?
2026-06-25 18:25:42
0
geoffiejeff :
Alipona au hakupona?
2026-06-25 22:08:10
3
Tajiri steve ๐ช :
Asante kwa elimu ๐๐
2026-06-26 10:33:28
1
#Mr formart :
ongelea na soda tafadhali
2026-06-25 23:29:38
2
To see more videos from user @festongadaya, please go to the Tikwm
homepage.
ยฉ 2021-2026 TikWM. All rights reserved.