Asante Baba....hii moja kwa moja status....mume wangu akutane na haya Madini.
2026-06-26 00:28:36
70
Isunga :
I wish ningejua mapema sasa hivi naumia kumdai ndgu pesa zangu nilizomkopesha mamilioni jamni mungu mfanyie wepesi anilipe sitarudia tena mungu🙏🙏🙏
2026-06-26 06:50:35
20
fatimamadini🧿 :
It is true 🥰 Mimi mama yangu haniombi hela hata siku moja and ni sawa tuu Mimi sio jukumu langu yeye ni jukumu lake kwangu full stop
2026-06-26 05:20:42
28
Ukhty Hanif🩺 :
I wish I saw this 10yrs ago🥲 bt saa hii nimejua mengi🤝
2026-06-26 04:49:58
20
Mtunge Saidi :
so hakuna kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu
2026-06-26 07:25:11
24
TataStimela :
wazazi wangu sio km wananidai noo..mi nkiwasaidia tuu moyo wangu unakua na amani so m nafanya kwa upendo tuu ili nipate amani ya moyo wangu sio km nawalipa🙏
2026-06-26 14:29:52
31
Murang'a rabbit farm :
Mmi nimeenda loss ya 700k juu ya brothers na wazazi saii nimesema sitaki kujua kama Niko na family
2026-06-27 11:38:11
5
iklucy :
very critical, sensitive, analytical
2026-06-26 02:42:13
29
Steh_254 :
bwanangu hawezikuelewa hili
2026-06-26 02:46:07
21
Derrick :
you sound like a fine wine brother, thanks
2026-06-26 04:35:20
11
Proffesor :
“SURVIVAL OF THE FITTEST”
2026-06-26 06:06:50
5
NYALUKE MSODOK :
masikini hawezi kukueleewa apa
2026-06-27 11:43:07
6
BECKY BECKS :
Fact, thank you Sir for this conversation
2026-06-26 01:30:02
12
user9660593916577 :
ukweli kabisaa mkuu ❤️❤️❤️
2026-06-25 23:28:51
10
chimamy ♈️ :
asante sana zamani ndo nilikuwa n moyo huo ila kwa sas wananijuw mie ni nani
2026-06-25 20:25:51
18
sophiambaga1 :
Nimemsaidia Baba yangu sababu sikutaka adhalilike nilikuwa nampenda sana
2026-06-27 05:30:06
9
flora 🌿🪷🥀 :
Dr sulle
prophet IPam
pastor mgogo
wote hao mnaringana mafundisho MUNGU awatunze baba zetu🙏
2026-06-26 13:30:36
7
KENN THE GREAT 🇰🇪 :
Kabisaa mimi najua hivyo wajibu wangu ni watoto wangu sio mama na baba, kunipeleka shule na kunilea ni Responsibility yao nami ni responsibility yangu kulea watoto wangu jinsi nilivyolewa ❤️❤️Watching from kenya 🇰🇪 in Saudi Arabia 🇸🇦
2026-06-26 03:45:12
14
fattykashia04gm.com :
asante
2026-06-25 21:06:00
6
Sonia dangote :
thank you 🙏🙏🙏
2026-06-25 20:20:04
6
Maleeka001 :
Ukona hekima mungu akubariki... unatufunza East Africa nzima si Tanzania pekee
2026-06-26 10:07:10
8
Twh🚘🇹🇿 :
fact sana father
2026-06-26 02:53:01
7
king of love :
uko sahii nimejifuza kitu nashukur sana
2026-06-26 08:31:29
8
To see more videos from user @judge_roy, please go to the Tikwm
homepage.