@jikonikwetu_: Nyama choma tamu na laini sana piak hivi, sio kila siku unaenda mtaani kununua portion halafu kidogo hamu haiishi pika hivi nyumbani🤤👌 Hii tulipika siku tatu baada ya sikuukuu ile ya kuchinja😋 #mbuzichoma#creatorsearchinsights #fyp#kenya#tanzania