@sevenonlineservice: JINSI YA KU-BADILI TEXT KUWA TABLE KWA SHORTCUT MOJA TU . . . ! 😱⌨️ Katika video hii fupi ya Excel utajifunza: ✔️ Njia ya haraka ya kuepuka kuchora table na kujaza taarifa moja moja muda mrefu sasa ni kwa sekunde chache ✔️ Jinsi ya kupanga kazi yako kwa haraka na usahihi ✔️ Mbinu rahisi ya kuokoa muda kazini, kwenye reports na spreadsheets 💡 Inafaa kwa: 1. Wanafunzi/ Waalimu 2. Wafanyakazi wa ofisini 3. Mtu yeyote anayefanya kazi na Excel #ExcelTips #KeyboardShortcuts #ExcelHacks #ProductivityTools #OfficeShortcuts ExcelTricks WorkSmarter 👉 Jaribu sasa, save hii post, na follow @sevenonlineservice kwa tips zaidi za Excel zinazokurahisishia kazi.