@cloudsmedia: #XXLUnplugged

Clouds Media
Clouds Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 25 June 2026 20:42:14 GMT
104309
11622
304
161

Music

Download

Comments

shaminabdul
siamin abdul :
ihii nyimbo nilikuwaa naisikiaa tuu ila saiz yamenikutaaa duu uzuni saiz nakunywaa dozi uhuu mwaka wa 2
2026-06-25 21:36:00
130
officialmamithojay
it's mamithojay💫 :
kumbe uyu bado yuko hai,,,,
2026-06-26 09:31:27
9
surayabab1
SURA YA BABA🌺🌺 :
Natafta status views ❤️
2026-06-26 09:27:33
1
mrjayb3
Hon. Barasa Collins :
Your band is joking otherwise legend you made us fear dating🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-06-26 08:53:38
5
renne1809
Renne :
Napenda sana nyimbo zako
2026-06-26 05:36:28
29
hafidh_naputa
hafidhnaputa :
Legend 🔥🙌hii ngoma ilinifanya niache uzinzi 😂
2026-06-26 09:13:08
6
livinus.rwelamila
Livinus Rwelamila :
jamaa alikuwa noma Sana 🔥🔥 kama unamkubar gonga like
2026-06-26 03:35:25
43
kenzo_the_beast
KENZO_the_BEAST :
kwaajili ya huyu mwamba nimeifollow clouds
2026-06-26 06:06:17
27
user8585688555096
SIMBAMKALI :
msanii wa studio
2026-06-25 23:27:51
18
amimu.kajanja
amimu kajanja :
@amimu kajanja:Ulizani utasoma comment zote bila kuiona hii 😂..kama unampenda mungu like hapa na nifollow
2026-06-26 07:10:06
12
vance.de.josee6
Vance de josee :
am the first comment from Geita Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-06-25 20:46:00
7
khalid.mahadhi
KHALID MAHADHI :
Hii ndio nyimbo bora ya muda wote kwa kizazi na kizazi kutoka kwa msanii bora wa muda wote mwite Ferouz.
2026-06-26 06:30:49
12
abuumono
OCTOBER :
out of the key
2026-06-25 22:11:26
5
wilistra1234
THE BAD GUY :
legend good blessed ma brother
2026-06-26 08:56:59
1
.bee.a1
Dark Bee :
nime wa foll kwaeshim ya ferooz
2026-06-26 07:08:27
0
engineer.jozeeee
Engineer Jozeeee💥🫡 :
sana bro
2026-06-26 05:40:56
0
utshuofficial
Mr UTSHU ✪ :
Big legend ❤️
2026-06-26 05:38:10
1
stejoe1
Lulu Bby :
waoooo
2026-06-26 04:19:21
1
crianah66
crianah@66 :
daah hii nyimbo toka naanza kuongea nliruka nayo mpak leo maneno yote nakwimbia mwanzo mwisho 🥰🥰🥰
2026-06-26 07:49:00
7
raelpaul7
🎀rahel😌😜 :
mm sa ivi ndonafanya haya kwasababu yamaisha🥹🥹
2026-06-26 04:44:46
7
cloudwalk43
Naich._official :
Hizi ndizo nyimbo zinazoishi mpaka leo.. 💪💪
2026-06-25 20:46:53
10
benjamin.1197
Mnyaturu og :
clouds mungu awabariki kwa kufanya kitu cha kuni furaahisha kumuona legend wangu
2026-06-26 06:06:19
6
mwamba251
bint mwamba 😘 :
hiii nyimbo napenda kuisikia maaan inanikumbusha starehe mwisho wake ni majuto asant sana ulie iandika na kuiimba pia mungu akuweke baba🤝🤝
2026-06-26 03:54:34
7
dkemi6
D-----> KeMy💤🕳 :
hawa ndo ma legend wa miaka hyoo safi sana feruz
2026-06-26 10:42:35
1
kimirantare01
KIMIRANTARE 🇨🇩 :
Ma star préféré depuis bongo flever🙏🙏
2026-06-26 10:11:25
2
To see more videos from user @cloudsmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About