Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.
2026-06-26 04:52:02
16
Makungwa makungwa :
Ongea haraka Haraka
2026-06-30 17:35:33
11
Paul Shija :
acha huyo kuna yule mwingine ( umekatazwa unasikiaaa )
2026-07-27 16:59:32
3
1020🫡 :
jifunze kuongea haraka
2026-07-03 16:04:40
8
Outo Bonventure :
kwn nguo zmechange aje
2026-07-03 18:02:40
8
Barck823 :
jaman naomba jina la nyimbo inayo play back ground 🙏 kwa heshima wakuu