Wengi wanaweza kuona kuondolewa kwa Sheikh Walid kwenye cheo ni shari. Lakini ukiangalia kwa jicho la karibu na kwa imani, unaweza kuona ndani yake kuna kheri.
Allah Akimpenda mja Wake, humuinua kwa namna Anayoijua Yeye. Watu humtambua kwa tabia na sifa zake njema, si kwa cheo pekee.
Kwa mtazamo wangu, hili linaweza kuwa kheri, kwa sababu kila analolikadiria Allah kwa mja Wake lina hekima na linaweza kuwa sababu ya kuinuliwa zaidi. Leo tunaona Sheikh Walid akizidi kujulikana na kupendwa kwa sababu ya sifa zake njema na mwenendo wake mzuri.
Mwenyezi Mungu atujaalie tuone hekima katika makadirio Yake na atutie thabiti katika haki. Aamiin.
2026-07-16 22:36:20
0
Hawa mohamedi :
Masha Allah 🌹 huna baya shekhe zetu Dua 🤲 tu
2026-07-17 04:35:39
0
Akram ali :
Amen
2026-06-26 17:51:23
0
jamila jamili :
hapo kwenye kutolewa roho !!😂😂😂😂 kuna jamaa alikuwa tajiri !! basi wakati wa sakaratul , alikuwa anataja tigo pesa Tu na Mali !! 😁 Allah atuoe mwisho mwema. ila umenichekeshaa saana !! mana tunayaona huku !!😅😅
2026-06-28 08:40:41
0
user534790077 :
upewetuzobb.kwaushaur
2026-06-25 22:57:22
0
ahmad :
❤️❤️❤️
2026-06-26 07:44:33
0
ahmad :
🥰🥰🥰
2026-06-26 07:44:33
0
To see more videos from user @sheikh_walid_alhad_tv, please go to the Tikwm
homepage.