@doktanature: Jinsi ya Kupungua Bila Dawa, Kuacha Wanga Wala Kushinda Njaa Ni simple sana! Tumia hii shortcut. Kula "CHAKULA HAI" Jifunze zaidi kwenye eBook "PUNGUA MILELE PART 1'' kwa tshs 10,000 tu +255767759137
Dr Nature
Region: TZ
Friday 26 June 2026 03:16:15 GMT
Music
Download
Comments
Elizabeth Sumbi :
kaka hujataja ugali nawali mimi msukuma bila ugali stoboi😂
2026-07-22 07:45:03
2
lucy official%% :
naomba like ili hii vidio ibaki kwangu
2026-06-27 20:07:47
6
LISA ❤️ :
Je what if ninywe maji ya chia seeds before anymeal inakuaje itafaa
2026-06-27 04:58:42
3
Dula :
Kupungua bila kushinda njaa utasikia REDIONI
2026-06-28 07:09:22
5
Fatty :
Fruits on empty stomach 😳na acidity?! kindly elaborate
2026-06-27 12:23:23
1
teddy :
broo yusufu
2026-06-28 14:55:32
0
agata :
oky
2026-06-27 18:36:29
1
Florence :
Asante
2026-06-28 09:03:15
0
boss lady :
nahivi vakula sinimatunda hapo hamna uwanga na unasema tunakula uwanga bilatatizo Kwa hiyo jibu tusile uwanga
2026-07-20 11:47:18
1
hii ilinisaidia kaka Angu ila niliumwa vidonda vya tumbo had nikaambiwa nisile kachumbali
2026-07-17 13:59:23
1
IbbuTZ :
Linapokuja suala la njaa..... sijui kwanini huwa sihitaji ushauri kwenye kula, hata sijui kwanini mazee ... 🤔🤔
2026-06-27 15:29:36
2
jojo1720 :
naombeni like
2026-07-02 17:45:49
0
geofreybarton511 :
ahsante kwa maelelekezo
2026-06-30 10:38:17
0
mahengeester :
Hii ata mi naiweza 👏
2026-06-27 18:55:32
0
MK :
Mimi nakula matunda nakaa dak 30 nakula breakfast
2026-06-27 21:24:26
0
MELLAH :
me nataka kunenepa
2026-06-26 13:09:40
0
boss lady :
nakm mtu anakisukari inakuwaje
2026-07-20 11:45:16
0
boss lady :
unasema unapunguwa bila kuwacha uwanga sasa hapo unaonesha chakula bila hivo vauwanga
2026-07-20 11:49:22
0
floraelia356 :
Asante bb naanza leo hii
2026-06-27 07:48:08
0
switina Mbwambo :
tuko pamoja
2026-06-26 18:10:58
0
Jbrizzy :
Santee Dr.
2026-07-25 16:52:03
0
MUNGU NJO CHF :
Acha nijaribu
2026-06-27 17:17:08
0
daughter of jesus :
Asante dr
2026-06-26 23:09:48
0
mama yenu :
asante sana
2026-06-27 05:38:26
0
Rachel kahindo muwami :
najalibu tena.
2026-06-26 16:51:18
0
To see more videos from user @doktanature, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.