nilikuw na Miaka 11 Tulisafir Mimi Na Baba Yang saiv Ni Marehem Ila Alhamdullilah tulikuw Miongoni mwa Waliookoka Kupitia Madumu Ya Mafuta Matupu ila Iliniacha Na Kovu Mguuni Mpka Leo Nipo Nayo Nikikumbuka ni Machungu Tuuh Allah atupe mwisho Mwem 🙏🙏🙏
2026-06-26 12:55:58
33
fahysha_makeup_and_hena :
Allahumma ghfirlahum waskanahum fil jannah 💔
2026-06-26 11:29:13
76
maryamrashidi858 :
daah Allah amrehemu mama angu mdogo
2026-06-26 11:29:31
66
luckylady :
siku ilikua ngumu hiii🥺
2026-06-26 11:16:49
28
user5219919395802 :
nataman hata usingeituma hii video 🥺🥺😭😭
2026-06-26 11:17:02
38
better thanks :
namkumbuka mwanafunzi mwezangu wa madrasa alifariki siku io allah amjaalie khery uko aliko😢
2026-06-26 07:21:49
40
suhaji_20 :
hii siku zanzibar yote ilitandawaa huzuni dah mungu awalaze roho za marehemu mahala pema peponi🤲🤲
2026-06-26 13:21:53
8
Babaajmal :
Da! ciyo poa mulikuwa na mtarajiwa wangu ambey ilikuwa mke wangu mtarajiwa bado namkumbuk sana
2026-06-26 07:18:34
27
WSS :
inauma sana Allah awape kheri na baraka uko walipo ndugu zetu
2026-06-26 10:36:25
15
Bin mbashir :
Allah amsamehe Baba yangu na amjaalie makaazi mema huko alipo na wale wote waliotangulia mbele ya haki . Amiin. umetonesha tena vidonda vyetu
2026-06-26 08:37:50
45
.mrusicode99 :
Dah brooh samahan sana ila ungeifuta hii ingekua fresh maaan dah🤦♂️
2026-06-26 12:26:31
8
Effa ❤️ :
umenifanya nilie Allah amrehem mdogo wangu Allah khuma amiin
2026-06-26 11:39:41
12
Hans🤍 :
Allah awaswameh maiti wote walio tangulia mbele ya Haki 🥹🥹🥹
2026-06-26 10:19:29
14
Dulvan🇹🇿 :
dah mwili wangu umesisimka sana😭😭
2026-06-26 14:20:11
2
Fatuma juma :
Allah awaweke mahala pema PEPONI Amiiiiiin 🤲
2026-06-26 14:28:17
1
Amir Khamis :
hakuna sieguswa na hii kwa zanzibar hii
2026-06-26 11:29:36
6
Hassan Mazrooi :
Allah amrehemu mdogo wangu mariam,ammy yangu Mjaka ,bibi yangu kipenzi na wengine wengi 😭🤲
2026-06-26 12:15:15
6
Amour jr :
yaan hiyo video kama ya mwaka wa 80 duh wakati ni juzi juzi tu 2011 anyway Allah awarehem woote kwa ujumla.amiiin
2026-06-26 11:58:16
5
ahlamnoor❤ :
my sis survived alhamdlillah
2026-06-26 14:15:30
1
Naa cute🍎 :
Haki umeniliza sana leo naomba uifute please 🙏😭😭
2026-06-26 13:44:02
0
Fadhil Khamis :
daaaa!!!!! brooo asante kwa kuni kumbusha lakini nime lia sana familia yangu nzima yote nime baki na mama tu brooo brooo brooo asante lakini usieke tena hii na kuomba na kuomba brooo usiekee ten wan funzi wenzangu ma jiran marafiki wangu wamo brooo😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌
2026-06-26 13:02:23
4
Itz.iffah_collection :
siku ambayo siwezi kuisahau 😭😭Allah awarehwmu maiti zote zilizotangulia mbele ya haki na awape makaazi mema peponi 🤲
2026-06-26 12:36:21
6
nadhirahajji :
hatuwezi kusahau siku hii😏
2026-06-26 11:28:35
4
real_chino.0g🇨🇦 :
Mom🥹😭🤲
2026-06-26 08:43:08
4
Omarry Msisi :
Allah awalaze mahal pem peponi inshallah
2026-06-26 13:22:40
2
To see more videos from user @arifzakrya, please go to the Tikwm
homepage.