@rfi_sw: Jumuiya ya kimataifa imeendelea kutuma misaada ya kibinadamu na wataalamu wa uokoaji nchini Venezuela, wakati huu vikosi vya uokoaji kwenye nchi hiyo vikiendelea na utafutaji wa watu wanaodhaniwa kufukiwa kwenye vifusi vya lajengo yaliyoanguka kutokana na tetemeko la ardhi. Emmanuel Makundi ana maelezo zaidi. #venezuela #caracas #earthquakedamage ##earthquake #rescuedog #RescueServices