nimeelewa gari sababu ya muelezaji yuko very smart and straight, nice presentation 🙌
2026-06-26 19:16:52
19
kinglion :
Wanao ulizia bei ni ¥ 983,000 yuan
2026-06-27 11:55:39
6
Laurah :
Ukifika zamu ya kuelezea IST utaniambia maana ndo gari ya ndoto yangu.
2026-07-21 19:46:42
5
Dizzo :
dah nifanyeje nipate pesa wakuu 🤣🤣
2026-08-17 18:12:48
0
unknown m :
Kam hujui bei hap ni 245m kak 🤣🤣🤣
2026-08-15 22:16:11
0
JBL Gypsum finishing :
huyu jamaa yupo vizur Sana kwenye kufanya review ya kila kitu Noma san 🫵🔥🔥
2026-08-04 08:48:15
4
Lema Ds :
Hatununuii😂
2026-07-23 07:52:04
0
King Chest :
2026-06-28 03:47:45
1
Omary Mjema :
Wachina ni next level wanateka soko lote
2026-07-03 06:50:07
0
frìmà bòÿ :
Bas kata
2026-06-27 16:29:28
1
Mr dillo the don💼🌎 :
Jamaa unatujuza vzr sana yan uko poa zaidi ya wauza magar woote
2026-08-05 16:36:14
2
Rafii Kweweta :
Hamna gar umo topology mtupu
2026-06-28 07:58:19
0
Mjr :
sh Ngapi kiongozi?
2026-07-20 12:01:11
0
@Ddaudy :
beiiiiii😂
2026-06-28 04:47:45
0
DARUC :
terron 9 SAFARI 🙌📌
2026-06-27 08:57:38
0
gpakua :
pamoja na sifa zote izo ila bado police wata niandikia nimezidi speed 😳 sielewi ivi vibao vyetu uku road avionekani kwenye zensor za magari yakisasa sijui 😂😂😂😂
2026-08-07 07:27:43
0
chelseafuns :
umenyoooka sana mwanetu😂😂😂
2026-06-27 17:49:30
0
victormwangaya :
hiyo chuma unyama sana 🔥🙌🏽🙌🏽
2026-06-28 14:06:47
0
Bundara Magobe :
poa
2026-07-20 18:43:19
0
Zamil :
warranty baada ya kununua👍
2026-06-27 19:52:39
0
Gift Robert :
kwa Mkopo imeekaaje
2026-06-27 12:37:38
0
Amir Amir Jr :
Sh ngapi
2026-06-27 07:45:55
0
Bab Se :
universe i droped this....ngoja mwenetu alete
2026-07-16 19:50:17
0
Yusuphkari :
shida spare kaka
2026-06-27 04:23:33
0
newton maina667 :
Figo ngapi?
2026-06-26 17:08:45
4
To see more videos from user @bigjoh255, please go to the Tikwm
homepage.