@mamisa.tony3: #amekuwa mwema sana kwangu 😩❤️#fyp#❤️

M.R.S.Tony og ❤️🦋
M.R.S.Tony og ❤️🦋
Open In TikTok:
Region: ZA
Friday 26 June 2026 08:04:38 GMT
394995
18981
842
2599

Music

Download

Comments

stamphord2
Justin stamphord :
ww mbn tunajua vitu vyako hapa umefata hela binti msumi
2026-06-26 16:12:54
879
official_.naya
Official_.naya🥰✨ :
ila umefata hela sema kweli
2026-06-26 09:24:43
437
_itsxallie
_its xallie :
Endeleen kuchagua chagua mabint 🤌🏽🤌🏽 kuna cha kujifunza hap
2026-07-09 12:21:14
53
ummytz6
MTOTO UMMY❤️‍🔥 :
ila wabay wnahudumia jmn ninaiyo ushuhuda
2026-06-27 14:20:08
81
vanessacute15
vee :
🤣🤣🤣mim hii challenge ntazeek sijaifany
2026-06-26 16:37:50
115
ennymyk
Enny's Choice :
Kumbe siri ni awe mfupu, ngoja niwe serious
2026-07-09 07:48:28
36
asha14750
🦋asha🦋 :
Ila wanaume wafupi weusi wapewe ulinzi wangu ataniuwa kwa raha🥰🥰
2026-06-26 16:51:39
84
zabyna012
Queen🍂inab🥀 :
Kabaya lkn kanaela🥰
2026-06-26 16:48:07
27
kyariga_255
Slim :
hili penzi Lina Behind the scene😀
2026-07-02 19:30:39
9
mamchix
🦋Cutepie🌸❤️‍🔥 :
Mmeona wanaume wafupi walivyo na mapenz ya kweli lkn😁❤️
2026-07-04 20:38:41
17
its.obi6
its.Obi :
Si unaona sura pasono wanavyotoa hela😁😂
2026-06-29 10:47:59
13
user6766680818108
🇹🇿عائشة من تنزانيا 🇹🇿 :
ngoja nisave hii sauti itanisaidia badae😂😂
2026-07-04 19:40:41
6
user7811880760109
haines ngaponda :
wakwangu ananipenda ila hana ela zakunifanyia hayo mambo
2026-06-26 17:47:12
17
user5242155987112
user5242155987112 :
hongera mwaya watu atuangalii uzuri wala muonekano tunachojali ni kuhudumiwa,furaha na amani ya moyo
2026-07-05 13:58:05
6
lighterdee5
♍️Virgo girl❤️🦋 :
Humu sms nyingi zimejaa makasiriko ila ss wanawake hatuwezi kuappreciate kile mwanamke anafanya jaman🙌🙌enjoy baby girl unapendwaaa❤️❤️❤️
2026-06-28 10:37:39
4
ladymagdalena
maggie :
uyu baba sio mke tu anawapenda hadi wanae kila wiki wananunua magar kwangu hongera beb enjoy life🥰🥰
2026-06-27 07:08:12
35
shesquin26
She's Quin💕 :
aka ka sound ka hajawai kunambia hapana kwakweli sikapendii iiii😅💔
2026-06-26 16:51:10
6
remmy_cake_and_bites
Remmy Bakery :
kwenye haya maisha ya sasa hivi muonekano hasa kwa mwaume si kitu chochote ukiwa na akili timamu ndio utaelewa na kama huna akili ndio utaanza ongea sijui mbaya kwanza mwanaume hajawah kua mzuri🥰hongera mwaya unapendwa kwisha Habari hayo mengine achana nayo mie naangalia napendwa vipi kua yy mbaya mzuri sjh mfupi hayo hayanihusu kikubwa napata amani na furaha📌📌❤️❤️❤️
2026-06-26 18:18:24
36
winor35
Winmac :
Jentro😌
2026-06-28 16:13:59
8
jacquedutchez
DutchezGates🦅 :
ila comment section mna chuki🙌🏻 kama vile mmewahi kuumba mtu, sio vizuri
2026-06-27 11:56:58
7
asap623
"lynryn" :
jaman tusipojitoa akili kuwakubali hawa not my choice tutafika mbali bhna😂
2026-06-27 04:01:37
7
annausafi736
It’s Me😏 :
Nyie kila mtu atatumia hii saundi ni jambo la muda tu 😅
2026-06-26 16:25:12
12
To see more videos from user @mamisa.tony3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About