@victor_mwambene: Ilikuwa heshima sana kutembelewa Ofisini na Mtumishi wa Mungu @lillianmwasha_ . Kwa kweli Nimefurahishwa sana na Kuvutiwa na Unyenyekevu Mkubwa alionao sambamba na Utumishi anaofanya kwenye Jamii. . Thanks My Brother @deosukambi Kwa kunikutanisha na Mtu huyu wa Nguvu. . @victor_mwambene . @lillianmwasha_