Namuona mdgo wangu😂😂
yeye anaunganishaga salamu na shida yake moja kwa moja utachagua wewe ujibu salamu au utume hela kimyakimya🤣🤣 ilove him🥰
2026-06-27 07:40:30
142
Nuru Laizer :
nasikiaga raha akinitumia mesej yakuomba hela
2026-06-27 07:08:57
110
Sapna❤️ :
utaskia dada nmeishiwa pocket 💰...,ooh tunaenda trip shuleni wiki ijayo😁😅,ooh dada tunafunga shule next week nauli inahitajika😅..but I love her, she's cool and calm..
2026-06-28 05:03:40
1
junior76_expert :
Dada zetu tuna wapenda sanaaaaaa
2026-06-27 09:20:15
61
madamfey_cosmetics :
Wangu anasemag dada kuna pensi nimeiona apa ni 5000 tu, naomb unitumie Mungu atakubariki dada angu😁😁😁
2026-06-27 08:38:52
36
Anne :
wangu anafoka kabisa😂
2026-06-27 11:04:20
17
👸🦋 :
sikumtuma mimi azaliwe wa kwanza 😂
2026-06-27 06:33:04
31
kylie miner💓🔐 :
Wanaomba ela na vocha 😂😂🙌
2026-06-27 11:38:16
1
user63774968252332 :
Mwenyezi Mungu awatunze dada na kaka zetu awajaalie kipato zaidi cha kuweza kutupatia hela zaidi ya tuombazo....Amiin 🙏
2026-06-27 11:48:43
2
Elizaa wa Arusha💝 :
Vice versa is true 😥😭
2026-06-27 10:43:01
2
Farhia🥰🦋 :
tulio kimbilia kusoma comment tujuane hapa😂😂🙌
2026-06-27 13:33:55
4
Lastborn🌸🫧 :
Nani awe dada angu mi niwe mdgo wake😂😂
2026-06-27 16:29:42
2
Alma 🔥🥰 :
😂😂mm wa kwang ananitaa dada kipenz
2026-06-27 08:05:00
3
Faidha 🍒 :
🤣🤣🤣 kama namwona last born wetu jmn
i love him 😊
2026-06-27 14:43:58
2
Tinashy 🎶🇹🇿 :
aah mi kwangu tofauti 😁kaka yangu nikiona sms yake nashika adi MOYO maana najuwa napigwa kitu kizito ila mimi ni nani Nampa coz nampenda sana my brother 🥰🥰
2026-06-27 13:05:39
9
Subby Daniel :
mimi namwitaga dada wa mimi
2026-06-27 10:12:03
1
Pre_owned_handbags_tz :
Ni mdogo angu atatuma kwangu na kwa kaka angu dada naomba 2000 na kwa kaka akipata hapo afu 4000 kumbe za kula chipsi 😂😂😂😂
2026-06-27 11:03:37
4
✨🍷MIMAH ✨🍷 :
Jana nimetok kupokea hii message 😅
2026-06-27 07:35:34
7
Curvy 😊 :
Okay una mpenzi? Saivi yani 😊
2026-06-27 10:41:55
1
Cousin 💰 :
Nishapokea na simjibu staki stress kabisa amani yangu ipo juu sana Leo😁😁
2026-06-27 07:48:45
2
Mbowe's Daughter :
wangu akumbakagi kusema asante😅😅
2026-06-27 10:16:19
2
To see more videos from user @favedee05, please go to the Tikwm
homepage.