@jikonikwetu_: Maharage ya bamia na nyanya chungu 😋🔥 ladha ya nyumbani isiyoelezeka… ukionja tu unarudia bila kujiuliza mara 2 . Kila tone linazidisha utamu wa chakula cha Kiswahili. Wewe ungependa yaliwe na nini—wali, ugali au chapati? 👇” #MaharageYaBamiaS#SwahiliFoodT#TanzaniaFoodF#FoodTokAfricanFood#beans

jikonikwetu
jikonikwetu
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 26 June 2026 09:18:49 GMT
83538
1609
62
503

Music

Download

Comments

abygirl152
Abygirl :
atakama katia bamia na nyanya chungu ni ajabu sjawah kuona ila vinatamanisha jamn😋😋😋
2026-06-27 11:01:52
2
tee_sweetcakes
Tee_sweetcake’s🍓🇹🇿 :
Mtumee bamia tena n nyanyachung
2026-06-26 15:49:28
8
toto_reen
mellisa :
haya mm hapana
2026-06-26 19:04:52
5
user4874988477611
nizzynaah 666 :
🥰🥰🔥 yummy
2026-06-27 10:13:30
0
rlarein_aminatha
rlarein_aminatha :
wallahyi nadhani ndio nimekuwa leo baada ya kuona maharage ya bamia
2026-06-27 06:31:50
1
user2030781704810
chabhh khaan :
😳😳😳😳😳😳😳Kheeeeeee
2026-06-26 12:25:00
2
salha1192
salha1992 :
nmeipenda...
2026-06-26 18:18:23
0
mapoz43
Mapoz🥰 :
haya ndo km ya diva
2026-06-26 20:31:07
0
ninakylie1
aslinina :
Hii mpya
2026-06-26 12:10:33
2
mohammadswaghir
Mona's :
mbona bamia mbichi saaa
2026-06-26 13:03:42
1
vivianamos20
my beautiful :
Mbona nimetamni
2026-06-26 18:30:59
0
becky__divah
becky__divah❤️ :
Mie najua bilinganyaa piaa Yan mnoo
2026-06-26 18:11:40
1
imeldaassenga
imeldaassenga :
sjafika ata ayo ya naz mshsfika kwenye bamiaa tena woii🥺😅
2026-06-26 18:58:01
1
officialmisslee8
Official-MissLee8 :
mambo yamejiamulia
2026-06-26 18:45:57
0
aisha.kusaga
Eysher Kusaga🫂❤️ :
Vitamuuuuu jmn Nyiie 🥺🙌
2026-06-26 16:12:15
0
salima_.salima
Saly :
Bamia na nyanya chungu kwenye maharage
2026-06-27 10:17:29
0
wisemina
blessed n wise :
mambo yangu haya jmn.😊
2026-06-26 12:31:29
0
nurufashionhub
Nuru Fashionhub TZ :
wee najaribu bwana namie🥰
2026-06-27 08:54:00
0
victoriafrancis835
victoriafrancis835 :
mchemsho Mimi siku hizi napendaga kupika hivyo
2026-06-27 12:14:58
0
sub_sule
亗 𝚂𝚄𝙱_𝚂𝚄𝙻𝙴 ×͜× :
inaitwa mremara yaani mrenda maharage
2026-06-27 12:06:49
0
fah.babe8
fah ❤️‍🔥😘 :
10/10 nalipa
2026-06-27 10:29:35
0
gloryhealth
Mrs Frank :
vitu vyangu jmn nyanya chungu ndio napendaga zaid.🥰🥰🥰🥰
2026-06-27 11:55:00
0
user11039556132205
coletha :
hii mama alikuwa anapenda kupika hi vi bac nilikuwa nadhani maharage yalikuwaa ayatoshi
2026-06-27 09:22:50
0
tabby1214
Tabby :
bamia na hiyo nyengine ni gani
2026-06-27 06:14:44
0
To see more videos from user @jikonikwetu_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About