@watotowapt: Unajua maana halisi ya kuwa mlokole? Wengi husema wameokoka, lakini je, wanaelewa maana ya wokovu walioupokea? Wokovu si jina wala dini. Ni maisha mapya ndani ya Kristo na uhusiano wa kweli na Mungu. Jiunge nasi ujifunze maana halisi ya wokovu kutoka kwa mtumishi wa Mungu Pastor Hans Richard. Full video available on youtube 27/06/2026 #watotowaPT #wokovu #thegospel #pastortonyministry #pastortonykapola

WatotowaPT
WatotowaPT
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 26 June 2026 09:31:44 GMT
13244
584
38
60

Music

Download

Comments

user7118104914301
[email protected] :
Tunaokubali kuitwa walokole tujuane hapa
2026-06-26 17:48:09
18
magdamwepesitz
Mwili Mwepesi |Punguza Kitambi :
exactly mimi pia sipendi
2026-06-26 11:03:37
4
cassie12850
Cassie💜 :
wow Leo ndo nimjua hii 🔥
2026-06-26 19:34:05
0
user5129859461983
Herman j...🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
Mimi ni MSABATO
2026-06-26 17:15:17
1
www.festo3
@FestoT :
mimi mnite tuh!
2026-06-26 15:15:57
1
blessed.flo
Flo :
Mi MKRISTO
2026-06-26 19:09:31
1
mrofficialfurniturehomee
MR OFFICIAL_USED&NEW_PRODUCT :
Mungu turehemu mengine atujui
2026-06-26 20:01:51
0
madameg71
[email protected] :
mi mlokole daima.😁
2026-06-26 16:41:52
3
mogmbezi
MAN OF GOD MBEZI :
2026-06-26 20:27:49
0
sistimbe
Sisym :
naomba mniite mlokole
2026-06-26 21:02:51
0
wallpaper_kaalii
Wallpaper_kaalii :
kumbeee
2026-06-26 16:24:13
0
dr.mkama
Dr mkama :
mm sio mlokole ila mm ni mwana wa Mungu,
2026-06-26 16:09:37
0
directorosborn
Am Jerry 🇹🇿🇨🇩🇺🇬 :
Neno limetokea uganda ndio lakini neno haijatokana na neno local limetokana na neno okulokoka lenye maana kuokoka
2026-06-26 16:56:57
2
binti.mkwasa
BINTI MKWASA :
we endelea kuukataa lokole jiite vyovyote lakin mimi nitabaki kuwa mlokole na nitabaki kuwa mlokole
2026-06-26 16:30:32
1
jemz7060
Jemz70 :
Mimi nipo na jina hilo hadi mwisho wa uhai. I love it, I like it. Kama ni kuwa local kwa ajili ya Yesu, so be it. Thank you Jesus. Hata jina Wakristo nalo lilianza kama dhihaka kule Antiokia (Mdo 11:26). Dunia haijawahi kuwapenda wana wa Yesu. Kama unaishi kwa kutaka dunia ikupende na kukusifusifu, una kazi.
2026-06-26 17:54:42
0
user9410167526765
Thinker 👽☠️💯 :
acha uongo
2026-06-26 17:07:40
1
irinerichlady2
艾琳 :
hata babu yangu aliniambia
2026-06-26 17:39:37
0
emilian.sakale
Emilian Sakale :
usipotoshe imani
2026-06-26 19:41:38
0
mindcontroler3
WHIZ B :
andiko lako liko wapi where is evidence
2026-06-26 18:36:04
0
victoriamsangi2
tv :
mlokole maana yake muokovu. mtu iyeokoka, mlokole.
2026-06-26 18:42:53
0
qb_pixels
Quality Media :
MLOKOLE Mean Aliyeokoka au Aliyeokolewa From kitu flani au sehem flani hio yako Mkuu hata mimi Siitaki Baki nayo tuu
2026-06-26 18:21:43
0
sokonikiganjanimwako
SOKONI KIGANJANI MWAKO :
MIMI MNIITE TU MLOKOLE JAMANI
2026-06-26 18:16:35
0
prosperjuma1
ShakaZulu :
Neno "walokole" linatokana na kitenzi cha Kibantu "kuokoka", yaani kuokolewa au kuokoka kutoka dhambini kwa kumpokea Yesu Kristo. Kwa hiyo: Mwokole = mtu aliyeokoka. Walokole = wingi wa "mwokole," yaani watu waliookoka. Kihistoria, jina hili lilianza kutumika sana katika harakati za uamsho wa Kikristo zilizojulikana kama East African Revival, zilizoanzia miaka ya 1930 katika eneo la Rwanda na Uganda, kisha kuenea hadi Tanzania, Kenya na nchi nyingine za Afrika Mashariki. Washiriki wa uamsho huo walisisitiza: wokovu binafsi, toba, kuishi maisha matakatifu, na ushuhuda wa imani. Baadaye, neno "walokole" likawa jina la kawaida la kuwaita Wakristo wanaosisitiza uzoefu wa kuokoka na maisha ya wokovu, hasa katika makanisa ya kipentekoste na ya kiinjili, ingawa pia kuna waumini wa madhehebu mengine wanaojiita wameokoka. Kwa kifupi, asili ya neno "walokole" ni "waliookoka," yaani watu wanaoamini wamepokea wokovu kupitia imani katika Yesu Kristo.
2026-06-26 20:45:54
1
hatungimana.t
JOSHUA :
kamahujuwi usijibu kitu usicho kijuwa
2026-06-26 21:09:50
0
samson19989
Samson lugongo :
ulokole ni neno lililotokana na kuokoka
2026-06-26 17:24:22
0
To see more videos from user @watotowapt, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About