@dr.issambashu: #onthisday MAZOEZI KWA KIWANGO #drmbashu #tanzaniadoctors #hospitaltanzania #tanzanianhealthcare

Dr Mbashu MD | PMP®
Dr Mbashu MD | PMP®
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 26 June 2026 10:24:31 GMT
46356
2215
59
116

Music

Download

Comments

tiata_2
tiata Joseph :
Jamani Tusome 😁
2026-06-26 11:57:02
19
itc_ziggie
MUBABA.WA.TRA :
Angina pectoris inaeza sababisha io hypertrophy??
2026-06-26 10:43:35
9
giantafricafactgaf
Giant Africa Fact(GAF) :
shule kubwaa sana hii Chief,
2026-06-26 17:21:21
11
mamhos6
Mam Hos :
plz talk about asgard aspirin for hypertension
2026-06-27 11:08:45
4
fortune._608
fortune _ :
David googins
2026-06-26 18:19:43
3
lakazetehaulearnold
lakazete :
Yani mi nashangaa kila kitu shida Yani kwahiyo tufanye nini sasa
2026-06-30 11:03:20
1
johanesstephano97
johanesstephano97 :
nice
2026-06-26 10:34:48
2
iddi_babu
babuu :
genious dr
2026-07-09 13:01:38
0
mbalawasi
mbalawasi :
Ronnie coleman
2026-06-28 05:52:44
1
dunia_mahando
Dunia_mahando :
Mnatuchanganya bana
2026-07-20 08:24:59
0
coolinno77
Cool Guy_88 :
Dr! Tafadhali nieleweshe hiki kitendawili: Kuna tofauti gani physically na biologically kati ya mazoezi ya kutembea zaidi ya steps 5k per day Ila mara 3-4 kwa wiki na yule anaefanya jogging kwa ratiba ileile katika uchomaji wa mafuta na lehemu ndani ya mwili, kupata kifua cha pumzi / mfumo mzuri wa respiration, kupunguza unene, in general health inshort. Please, help me kuelewa hiki kitendawili.
2026-07-18 10:24:34
0
eliasjr8
Elias Jr 🇹🇿✊ :
2026-06-27 03:40:24
1
hamdunisafari112
mr writer🤒 :
yeah
2026-06-26 10:27:17
1
clearihb86r
Clear :
Doctor 🥰
2026-06-26 13:11:09
1
youngyank
Albanian mafia :
David Goggins is typing......
2026-06-26 18:06:33
2
geofreynjovu1981gmail.co
Ngonifaceless channel :
nilipanga kwenda GYM nimegairi bora niwe natembea tu, maana wiki iliyopita nimefanyishwa mazoezi kuinua vyuma vya kilo 2 hmara 750 yaani kila zoezi mara 250 kichwa kimeniuma sana hadi misuri ya kichwa imevimba ,wiki nzima nimetumwa sina hamu bora umeongea
2026-06-27 15:52:31
2
msanjalaone
msanjala finnest :
aiseee nimepiga push ups juzi na jana now nahc kichomi upande wa moyo kote nahc kichomi yan hovyo😭😭
2026-06-26 11:42:45
2
dodole27
mbalilax :
Mazoezi hayasababishi hypertrophic cardiomyopathy. HCM ni ugonjwa wa kurithi, hivyo wanamichezo wengi wanaopata mshtuko wa moyo huwa tayari walikuwa nao. Ndiyo maana uchunguzi wa moyo kabla ya kushiriki michezo ni muhimu. Mazoezi ni salama kwa wenye moyo mzima, lakini yanaweza kuwa hatari kwa wenye HCM. thickening of heart muscles after being athlete for a long time ni normal adaptation na haiwezi kukupa heart attack
2026-07-05 19:57:17
3
solotangomhondo
ابوو مجهدىن :
mnatuchanganya bwana
2026-06-26 17:28:58
1
hashimrajabu22
Oezil11 :
TOO MUCH IZ HARMFUL
2026-06-26 20:54:00
2
saimonmasuke6
Saimon Masuke :
ivi madaktari hamuwezi kumaliza mazungumzo bila kuongea kiingereza 🤔
2026-06-29 08:49:18
1
user33407398108706
Boniface Mwamba :
kwahiyo nini tufanye au tuzingatie kwenye kufanya mazoezi dokta
2026-06-26 11:40:47
1
keny7652
KENEDY AYO :
Too much of something is harmful siku zote kila kitu kinatakiwa kuna na kiasi
2026-06-26 22:08:09
2
barackabwill1
barackabwill1 :
kaka kingeleza kingi vingine hatukuelewi 🧐
2026-06-26 11:36:09
4
To see more videos from user @dr.issambashu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About