@taarifa_24: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillius Wambura kutotoa vibali vya mikutano ya hadhara kwa Vyama vya SIASA Nchini kuanzia sasa. Katambi ametoa kauli hiyo leo, Juni 26, 2026, Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali kuhusu hali ya usalama Nchini. Akizungumza Bungeni amesema: “Namuagiza IGP Wambura asitoe vibali vya mikutano ya hadhara kwa Vyama vyote vya siasa, hata kama ni Chama cha Mapinduzi (CCM).” Kauli hiyo imeibua mjadala kuhusu mikutano ya kisiasa na hatua za usimamizi wa usalama Nchini, huku kukiwa na hali ya sintofahamu juu ya kusambaa kwa taarifa hizo. Je wananchi wanasemaje juu ya hili ikiwa Chadema imeonekana kuwa na nguvu ya kukusanya maelfu ya watu na kupendwa na wananchi sana kuliko vyama vyote nchini #taarifa_24
Taarifa24
Region: ZA
Friday 26 June 2026 11:11:29 GMT
Music
Download
Comments
mahir :
saf sana waziri wetu mungu akusimsmie,,, pia nikushauri tu,
2026-06-26 11:57:29
1
Michael Kikoti :
mungu akulinde waziri Inshaaa Anlah. pambana mkuuu mungu yunawe.
2026-06-26 15:21:43
0
WAHUBANI :
Safi sana kiongzoi
2026-06-26 15:12:46
0
aziz mkumbo :
asantee
2026-06-26 14:54:57
0
Issa Juma :
haaaaaaaaaaaaa
2026-06-26 12:32:45
0
Mchele D :
safi sana
2026-06-26 11:51:48
0
faidamakelemo :
hii ni nchi au dampo
2026-06-26 11:55:52
2
Denis Minja :
Anzeni na Viongozi wa CCM
2026-06-26 12:18:53
4
Danky :
huiiiiiiiiiiiiiiii Tanzania
2026-06-26 11:21:16
1
nakupongeza Aza na yule mwenye jeshi lake
2026-06-26 13:55:24
0
Vanny Miller Blands :
mwizzzzzzzzzzzzzz
2026-06-26 18:39:29
0
Paul@ :
hasiraaaaaaaa
2026-06-26 12:34:12
1
Mike :
Anzeni na ccm
2026-06-26 17:29:46
0
ALWATAN NGUNZA :
Nonsense
2026-06-26 12:10:36
0
raymond87 :
nonsense
2026-06-26 13:32:16
0
Robby dhe don :
🙏🙏🙏🙏🤝🤝🤝🫶🇹🇿🇹🇿
2026-06-26 12:16:12
0
To see more videos from user @taarifa_24, please go to the Tikwm
homepage.