@dotto.mwanarobert: Mheshimiwa John Heche ajitokeze aseme Chadema ziko mbili au ? Je ni hii chadema inayosemwa vibaya na viongozi mbali mbali, - akina Yerico Nyerere pamoja na Doyo Hassan Doyo au ipo nyingines ambayo sisi hatuijui lakini kama ni hi iliyokuwa Mbeya basi waliokuwa wanasema wataifuta na wengine wanasema ni genge la wahuni wajue wanawakosea sana wananchi . Kinara TZ