@okulyjulius: Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa (BMH) imeendelea kuonesha uwezo wake katika utoaji wa huduma za kibingwa baada ya kufanikiwa kuwahudumia wanaume 14 kwa upandikizaji wa uume, huduma iliyoanza kutolewa mwaka 2023. Kaimu Mkurugenzi wa BMH, Dk. Abdallah Baja, amesema hayo wakati akizungumza kuelekea maadhimisho ya miaka 10 ya hospitali hiyo, akibainisha kuwa wagonjwa wote waliopatiwa huduma hiyo wanaendelea vizuri na matokeo ya matibabu yamekuwa ya kuridhisha. Amesema mafanikio hayo yanaakisi maendeleo ya BMH katika kutoa huduma za kibingwa zinazopatikana katika hospitali chache ndani na nje ya nchi.

OKULY BLOG
OKULY BLOG
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 26 June 2026 12:16:49 GMT
24187
519
16
123

Music

Download

Comments

kylemponji
Captain_MP :
Donor ?
2026-06-26 23:29:14
2
rashio21
Rashitrucker :
Dr.nyoosha maelezo😁
2026-06-27 02:55:48
1
mose18377
Mose :
Side effects
2026-06-27 02:17:50
1
user9975468043632
qwerr :
mnajichukulia sana maamzi madakitari
2026-06-27 08:08:08
0
msemakweli50
HI WILL :
dah
2026-06-26 16:16:24
2
user8076366182676
mecy :
MAENDELEO Sasa tunayo SANA HIYO KITU IPO KUMBE
2026-06-26 18:24:54
5
user8076366182676
mecy :
hapo ni Kenya AU us ?
2026-06-26 18:24:01
3
simbakitara4
simbakitara :
tibuni na sciatica,lumber disc ,lower back pain watu wanasumbuliwa sana
2026-06-27 08:36:26
1
wakanda.sfm
WAKANDA🫆 :
iki lala mnapokea return doctor
2026-06-27 06:06:35
2
director_mosri
DAIREKTA🥼🩺💊🇹🇿 :
Dr. BAJA 🔥🔥🔥
2026-06-27 02:27:22
2
mwene_1
Natary wabongo🇹🇿 :
unamwaga kabisa😁😁
2026-06-27 06:46:57
1
ujani_original_product
UJANI HERBALS :
350,000 ukitupa tunakupa dawa inaongeza
2026-06-27 04:20:15
1
chioma.chioma70
@chioma❤️ :
wanaopandikia ni wanaume au wanawake
2026-06-27 07:13:56
0
To see more videos from user @okulyjulius, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About