@deer.rita: Dream - Baby Monster🥺🤍 cr x. sora_ritaa #BABYMONSTER #BABYMONSTER_CHOOM_SEOUL_D1

HaloMprit🫎
HaloMprit🫎
Open In TikTok:
Region: ID
Friday 26 June 2026 12:29:30 GMT
6162
512
6
7

Music

Download

Comments

hereeeismann
chocolate... :
setiap dengar lagu ini, pasti membayangkan perjalanan mereka sejauh ini dari predebut sampai era shit🥹🫠🫶😈
2026-06-26 12:53:48
44
nobody..237
💕🐰 :”) …!’ 💞🎀 :
Rukasa vocal??,,finallyyuyy,
2026-06-26 21:12:33
15
farrlmdika
farrel :
klo menurut ku ya suara rami sm ruka itu kek ada mirip” ny gt
2026-06-27 01:59:05
1
To see more videos from user @deer.rita, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

JUNI 28, 2026, DOMINIKA YA 13 YA MWAKA A
 
 SOMO 1: 2 Fal 4:8-11,14-16 
 Ilikuwa siku moja, Elisha alikwenda Shunemu; na huko kulikuwa na mwanamke mmoja mwenye cheo; naye akamshurutisha aje ale chakula. Ikawa kila alipopita njia ile, huingia kula chakula.  Yule mwanamke akamwambia mumewe, Tazama, mimi naona ya kuwa mtu huyu apitaye kwetu mara kwa mara ni mtu mtakatifu wa Mungu. Nakuomba, tumfanyie chumba kidogo ukutani; na ndani yake tumwekee kitanda, na meza, na kiti, na kinara cha taa na itakuwa, atujiapo, ataingia humo. Ikawa siku moja akafikia huko, akaingia katika chumba kile akalala. Akasema, Basi, atendewe nini? Gehazi akajibu, Hakika hana mwana, na mumewe ni mzee. Akamwambia, Kamwite. Naye alipokwisha kuitwa, akasimama mlangoni. Akasema, Panapo wakati huu mwakani, utamkumbatia mwana.
 
 WIMBO WA KATIKATI 
 Zab. 89 : 1-2, 15-18 (K) 1 
 (K) Fadhili za Bwana nitaziimba milele.
 
 Fadhili za Bwana nitaziimba milele;
 Kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako.
 Maana nimesema, Fadhili zitajengwa milele;
 Katika mbingu utauthibitisha uaminifu wako. (K)
 
 Heri watu wale waijuao sauti ya shangwe,
 Ee Bwana, kuenenda katika nuru ya uso wako.
 Kwa jina lako hufurahi mchana kutwa,
 Na kwa haki yako hutukuzwa. (K)
 
 Maana fahari ya nguvu zao ni Wewe,
 Na kwa radhi yako pembe yetu itatukuka.
 Maana ngao yetu ina Bwana,
 Na mfalme wetu ni wake Mtakatifu wa Israeli. (K)
 
 SOMO: 2 Rum. 6:3-4,8-11 
 Hamfahamu ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti yake? Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika
 wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima. Lakini tukiwa tulikufa pamoja na Kristo, twaamini ya kuwa tutaishi pamoja naye; tukijua ya kuwa Kristo akiisha kufufuka katika wafu hafi tena, wala mauti haimtawali tena.  Maana kwa kule kufa kwake, aliifia dhambi mara moja tu; lakini kwa kule kuishi kwake, amwishia Mungu. Vivyo hivyo ninyi nanyi jihesabuni kuwa wafu kwa dhambi, na walio hai kwa Mungu katika Kristo Yesu.
 
 SHANGILIO: Mt. 11:25
 Aleluya, aleluya,
 Nakushukuru, Baba, kwa kuwa mambo haya uliwaficha 
 wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga.
 Aleluya.
 
 INJILI: Mt. 10:37-42 
 Yesu aliwafundisha mitume wake hivi: Apendaye baba au mama kuliko mimi, hanistahili; wala apendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili. Wala mtu asiyechukua msalaba wake akanifuata, hanistahili. Mwenye kuiona nafsi yake ataipoteza; naye mwenye kuipoteza nafsi yake kwa ajili yangu ataiona. 
 Awapokeaye ninyi, anipokea mimi; naye anipokeaye mimi, ampokea yeye aliyenituma. Ampokeave nabii kwa kuwa ni nabii, atapata thawabu ya nabii; naye ampokeaye mwenye haki kwa kuwa ni mwenye haki, atapata thawabu ya mwenye haki. Na mtu awaye yote atakayemnywesha mmojawapo wa wadogo hawa ngaa kikombe cha maji ya baridi, kwa kuwa ni mwanafunzi, amin, nawaambia. haitampotea kamwe thawabu yake.
JUNI 28, 2026, DOMINIKA YA 13 YA MWAKA A SOMO 1: 2 Fal 4:8-11,14-16 Ilikuwa siku moja, Elisha alikwenda Shunemu; na huko kulikuwa na mwanamke mmoja mwenye cheo; naye akamshurutisha aje ale chakula. Ikawa kila alipopita njia ile, huingia kula chakula. Yule mwanamke akamwambia mumewe, Tazama, mimi naona ya kuwa mtu huyu apitaye kwetu mara kwa mara ni mtu mtakatifu wa Mungu. Nakuomba, tumfanyie chumba kidogo ukutani; na ndani yake tumwekee kitanda, na meza, na kiti, na kinara cha taa na itakuwa, atujiapo, ataingia humo. Ikawa siku moja akafikia huko, akaingia katika chumba kile akalala. Akasema, Basi, atendewe nini? Gehazi akajibu, Hakika hana mwana, na mumewe ni mzee. Akamwambia, Kamwite. Naye alipokwisha kuitwa, akasimama mlangoni. Akasema, Panapo wakati huu mwakani, utamkumbatia mwana. WIMBO WA KATIKATI Zab. 89 : 1-2, 15-18 (K) 1 (K) Fadhili za Bwana nitaziimba milele. Fadhili za Bwana nitaziimba milele; Kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako. Maana nimesema, Fadhili zitajengwa milele; Katika mbingu utauthibitisha uaminifu wako. (K) Heri watu wale waijuao sauti ya shangwe, Ee Bwana, kuenenda katika nuru ya uso wako. Kwa jina lako hufurahi mchana kutwa, Na kwa haki yako hutukuzwa. (K) Maana fahari ya nguvu zao ni Wewe, Na kwa radhi yako pembe yetu itatukuka. Maana ngao yetu ina Bwana, Na mfalme wetu ni wake Mtakatifu wa Israeli. (K) SOMO: 2 Rum. 6:3-4,8-11 Hamfahamu ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti yake? Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima. Lakini tukiwa tulikufa pamoja na Kristo, twaamini ya kuwa tutaishi pamoja naye; tukijua ya kuwa Kristo akiisha kufufuka katika wafu hafi tena, wala mauti haimtawali tena. Maana kwa kule kufa kwake, aliifia dhambi mara moja tu; lakini kwa kule kuishi kwake, amwishia Mungu. Vivyo hivyo ninyi nanyi jihesabuni kuwa wafu kwa dhambi, na walio hai kwa Mungu katika Kristo Yesu. SHANGILIO: Mt. 11:25 Aleluya, aleluya, Nakushukuru, Baba, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga. Aleluya. INJILI: Mt. 10:37-42 Yesu aliwafundisha mitume wake hivi: Apendaye baba au mama kuliko mimi, hanistahili; wala apendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili. Wala mtu asiyechukua msalaba wake akanifuata, hanistahili. Mwenye kuiona nafsi yake ataipoteza; naye mwenye kuipoteza nafsi yake kwa ajili yangu ataiona. Awapokeaye ninyi, anipokea mimi; naye anipokeaye mimi, ampokea yeye aliyenituma. Ampokeave nabii kwa kuwa ni nabii, atapata thawabu ya nabii; naye ampokeaye mwenye haki kwa kuwa ni mwenye haki, atapata thawabu ya mwenye haki. Na mtu awaye yote atakayemnywesha mmojawapo wa wadogo hawa ngaa kikombe cha maji ya baridi, kwa kuwa ni mwanafunzi, amin, nawaambia. haitampotea kamwe thawabu yake.

About