kuna wakati watu wa pixel waheshimiwe maana hawana muda wa kufake life ukiona mtu ana pixel ni pixel kweli sio ya kuigiza ila hawa wa iphone maigizo mengi sana mjini watu wa pixel gonga like hapa 😅😅
2026-06-28 16:31:23
20
Mr. Octavoice@800 :
12 pro max
2026-07-23 15:08:06
0
scola🥰🦋 paschaly :
Kahama tunapata ety
2026-06-30 17:49:21
1
Bihafswa Salum :
mim Nina Tecno Ile kama iphone 17 Sasa naweza kuiweka iyo
2026-07-27 19:40:28
0
Holy Scoundrel..!🙏🏼 :
Tochi inawakaje..!??
2026-06-26 18:02:21
2
Ravishing_belle :
Kweli aibu utaona ww
2026-06-28 12:48:11
1
Mudathir Mwiru :
11 pro max ipo kava yake
2026-08-06 17:19:24
0
NOONE 🤑 :
Kioo cha nyuma bei gani boss
2026-08-08 08:14:47
0
Nayraan 🥰🥰 :
12 promax inawezekan
2026-06-26 14:04:35
1
MADDY B TRACK :
Back glass ya 12 pro max kaka bei gani ?
2026-07-01 21:00:40
1
kidimpoz5 :
11pro inawezekana
2026-06-27 15:53:33
1
user3519484072592 :
Arusha mpo
2026-07-05 12:48:59
0
venoo :
mnaangaika na sim
2026-07-03 06:17:00
0
Samia Saidy :
ndiomana now sizipendi iphone coz zimeshuka brand bora nibaki kwnye cmu za matajir na zenye viwango Samsung
2026-08-06 19:29:15
1
sania mkami😍🦋🌹 :
Wewe na boss
2026-06-27 21:42:18
0
MunaCutee :
samsung inakubali
2026-08-09 19:43:37
0
Dorcas Mrutu :
nataka kava ya 13Pro
2026-08-07 13:36:12
0
marystevEN :
Wapi dukani?
2026-08-06 20:46:31
0
Rahma :
ila camer zinaumbua 😂😂😂😂
2026-08-08 08:55:52
0
ᴍᴇᴅᴅʏ ×͜× :
Yote ya nini sasa 😂
2026-08-06 15:11:48
0
Erizabeth chimwaga :
Mwenye kuminamoja Vp
2026-08-06 14:18:28
0
Leilaaah🌹🕊️🕊️ :
Ukowapi
2026-06-28 16:53:30
0
To see more videos from user @shedy_mobile, please go to the Tikwm
homepage.