@otumantozz: Baby Ollie wa Wema Sepetu na Whozu amekaribishwa vizuri sana na watanzania, kwa upande wa 'Mama Lola' mama mtoto wa Whozu Cappuccino_tunda yeye amempokea kwa furaha kwa kufanyia challenge video ya Wema ambayo alikuwa anaelezea furaha yake juu ya kuwa na mtoto.
KING 👑WA TIK TOK
Region: TZ
Friday 26 June 2026 13:35:09 GMT
Music
Download
Comments
Maggie wa J🫂❤️ :
Love you tunda 😔
2026-06-26 20:07:48
1
Angelmichael🥰 :
tundaa🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-27 14:30:14
0
Diva Diana :
ila screen shoot ya wema dooooh😳😳😳
2026-06-27 13:36:53
0
official hd the boss lady🥰🥰 :
upendo au unafki
2026-06-26 17:27:10
167
madam P :
ukute kashaenda kumuona ila ataki kujionyesha😂🥰🥰🥰
2026-06-26 14:11:54
582
Winnie :
Huyu dada hajawah kumsema vibaya Wema na mtoto wake alimuachia kwa kumuamin hii roho ya kipekee
2026-06-26 15:20:05
269
Monalissa😍🔐🦋 :
Kuiga tena kisauti Cha mke mwenzio🥰
2026-06-26 13:42:10
135
princesshajilloga :
Wema Ana roho safi na tunda pia anaroho safi na Hana man no
2026-06-27 04:53:47
20
madam G beauty💄 :
kwani Wema kukaa vizuri na Lola sio upendo?
2026-06-26 19:28:43
86
Ree hayna❤️ :
:marafiki wa kuview status dm
2026-06-26 19:23:20
14
WIZZDADY 🔥🐢🐍 :
6/7
2026-06-27 10:58:02
0
Dearpretty@100 :
sisterhood are proud of you Tunda
2026-06-26 14:14:57
56
its_reney🦋 :
wozu kajua kuchagua wanawake wenye akili❤️❤️❤️
2026-06-26 20:52:46
20
🦋BRIANNA MOMY🖤❤️🩹 :
Moyo wake umenyoka 😂🥰
2026-06-26 19:20:33
8
CatherineRobert :
nimekupenda bule tunda
2026-06-26 13:55:51
28
Maryam :
20/20
2026-06-26 22:23:00
1
it's daizy :
follow for follow nalipa
2026-06-26 20:20:21
8
user1824973384908 :
saf mwaya kwakuwa naupendo wazat
2026-06-26 17:29:42
5
itongdhrf4g :
tundra unaupendo sn mung akubarik tunda
2026-06-26 14:21:24
15
user89345635314 :
Tunda nimeipenda hiyo....🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-26 14:22:30
7
kai kai_tz :
tunda mchokizi
2026-06-26 13:48:06
5
Mariam Kivuyo 🌹 :
Niupendo ndani ya nafsi🥰🥰🥰🥰
2026-06-27 08:39:19
3
BEFORE M SP :
WEMA AJAZEEKA...ILIKUWA NI STRES TU..NGOJA MUONE SASA MAAJABUUUUU YA MUNGU YANARUDI
2026-06-27 15:35:36
1
Familia :
Moyo wa mtu kichaka
2026-06-26 21:03:01
3
Dominatha Silivester :
nimependa hapo kwenye husda
2026-06-26 17:14:30
3
To see more videos from user @otumantozz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.