niwashauri kwa wapenzi wa mpira wanaotoka mikoani kuja Pemba kwenye Fainali ya crdb tarehe 4/7/2026 tumieni usafiri wa boti kupitia Tanga kuja Pemba ni safari fupi na nauli nafuu pia unaepuka ule ukondo wa Nungwi.karibuni Pemba tunawapenda sana.
2026-06-26 17:34:43
1
JAFARI BABAYU :
Kila mechi Zanzibar niujinga bana
2026-06-26 19:50:18
0
lod@33 :
kmc ni poa 2
2026-06-26 22:03:47
0
Saganda :
huna pesa katafute pesa
2026-06-26 19:47:25
0
Saidi Mtnginya :
bora Ali Hassan Mwinyi
2026-06-26 19:37:41
0
Marcely :
Kama hutaki sisi yanga na azam tunaenda kuwasapoti azam
2026-06-26 14:47:28
0
Shaban Mhina :
🥰🥰🥰
2026-06-26 19:48:10
0
Delevina Jackson :
😳😳😳
2026-06-26 14:50:44
0
seleman :
😆😁
2026-06-26 22:51:33
0
To see more videos from user @mnyasamedia41, please go to the Tikwm
homepage.