@bbcnewsswahili: Serikali ya Tanzania imesitisha mikutano ya hadhara ya kisiasa nchini kote, ikisema hatua hiyo ni muhimu ili kudumisha usalama wa taifa. Serikali imesema imebaini vitisho vya kiusalama, ikiwa ni pamoja na watu wanaodaiwa kukutwa na silaha walipokuwa wakipanga kutekeleza vitendo vya uhalifu. Hata hivyo, uamuzi huo umekosolewa na vyama vya upinzani, ambavyo vinadai kusitishwa kwa mikutano hiyo ni kinyume cha sheria. Mwandishi wa BBC @sammyawami na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #tanzaniatiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #foryou #vyamavyasiasa

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 26 June 2026 15:49:41 GMT
129041
7196
227
241

Music

Download

Comments

user8173703748802
MR-ANONYMOUS :
kweli chadema inaogopwa🥹
2026-06-26 17:29:29
100
user6136940159904sunshin
dianarose ngao mushi :
hatuna biashara hatuna hela hatuna kazi tufanye kazi gani sasa
2026-06-26 16:44:12
90
user5846132231483
Steve :
WHO ARE YOU ????
2026-06-26 17:32:53
4
vina_exceptional
vina :
watawala waogaaa
2026-06-26 17:12:56
58
itsjayjams
Father Of Others :
Demokrasia iko wapi???🥺
2026-06-26 16:56:01
53
bisco_supernatural
bisco_supernatural :
In the end everything will be fine, if its not fine......it's not the end
2026-06-26 16:33:56
21
saidi.daudi88
Saidi Daudi :
mimi naona sawa tu watu wafanye kazi
2026-06-26 17:36:25
24
kristine.rose81
Kristine Rose :
Mbona mnaiogopa sana Chadema
2026-06-26 17:23:58
39
ngarambe35
ngarambe :
safi sana Hon. katambi.
2026-06-26 17:11:29
15
daudyjoji
mr handsome 😍 :
hii Tanzania 🇹🇿 yet sijuiina elekeawap
2026-06-26 16:54:15
19
mathias565
user255 745392074 :
Chadema inaongopwaa sana Chama La moyo✌️✌️✌️✌️✌️
2026-06-26 18:57:20
16
zumohjr
Ally zumoh'jr :
SAFI SANAAAAAAA👏👏👏👏👏👏
2026-06-26 17:37:44
6
cashroadi
mrswaggar :
hawawez kujibu hoja
2026-06-26 16:54:16
11
majaysjrmtitu
Majays :
Hili ni tatizo kubwa sana Tanzania.
2026-06-26 16:38:21
13
waadamnahawa
WA ADAM NA HAWWA(EVA) :
MARUFUKU SAFI SANA MIA KWA MIA
2026-06-26 17:58:42
11
junujunior0
uziasuleiman :
safi sn mna tn wanaongea pumba sana du
2026-06-26 17:48:38
6
godfreylaurent28
@g.pambakali :
my country 🇹🇿🇹🇿😌😌
2026-06-26 16:41:22
3
ravianus.matungwa
Ravianus Matungwa :
mmechewa sana
2026-06-26 17:40:14
8
ally.mabena
Ally Mabena :
mmh,hatar sana hii
2026-06-26 16:35:12
8
engineershayo94
Kelvin shayo :
waoga sana hawa watu
2026-06-26 17:24:51
5
martin_mahimbo
Uncle_Martin :
kwanini?
2026-06-26 16:36:53
6
fahamu.kabuje6
Fahamu Kabuje :
ona makofi sasa
2026-06-26 17:00:32
7
polepoletz
polepoletz :
hii safiii sanaaaa safiii sanaaaa naunga mkono hoja
2026-06-26 18:53:11
2
salema_jr2
salema_jr2 :
AI au
2026-06-26 17:02:04
3
eunicejohn079
mama G💕💯💯💯💯💯02 :
😔😔😔
2026-06-26 17:49:49
3
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About