@mbtvkenya: Tuwahurumieni wanawake jamani katika ndoa. Wanabeba mengi kimya kimya, lakini bado wanaendelea kupenda, kujitolea na kusimamia familia. Upendo, heshima na kuelewana ni msingi wa ndoa yenye furaha. ❤️🙏 #Ndoa #Wanawake #Upendo #Heshima #Familia #MarriageLife #MarriageGoals #Empathy #TogetherForever ❤️#IslamicReminder #mbtvkenya