@mariam_designs08: Haya rangi yenu pendwa imerud purple na khimar lavender 🌸❤️❤️ 20,000 khimar 45000 full khimar na gauni yake Nguo zetu ni free size na gauni ni Pana hazichori mwili material mazuri Tupo kimara corner delivery Ipo mikoani tunatuma 0629884767 #hijabstyle #khimarabaya #khimar #khimarviral #nguozastara