@mb__civil__professional: Karibu kwenye Familia ya MB Civil Professionals 🏛️✨ Location: 📍Dar es salaam, Tanzania 🇹🇿 LUXURY BUILDING G + 1 For more info contact us #Tunajenga #Tunachora ​Tunatengeneza ubora unaodumu kwa vizazi na vizazi. Tunatoa huduma zifuatazo: ○ ​📐 Ramani za Majengo: Nyumba za kisasa, ghorofa, apartments, fremu za biashara, hoteli na maghala. ○ ​🏗️ Ujenzi & Ukarabati: Tunajenga na kukarabati majengo ya aina yote kwa ubora wa hali ya juu. ○ ​🧠 Ushauri & Mpangilio: Ushauri wa kitaalamu wa jengo, vyumba, na mpangilio wa kiwanja chako. ○ ​💪 Structural Design: Michoro ya nondo na nguvu ya jengo kwa umakini mkubwa. ​○ 📒 Makadirio (BOQ): Uchambuzi sahihi wa gharama za ujenzi hadi kukamilika. ○ ​ 🌳 Urembo wa Ndani na Nje: Interior & exterior design, pamoja na landscaping. ○ ​🔎 Usimamizi & Land Surveying: Upimaji wa viwanja na usimamizi wa mafundi wenye uzoefu (mikoa yote). ​📞 Wasiliana Nasi Sasa (Call/WhatsApp): 👉 0716266511 Kazi safi, haraka na kwa uaminifu mkubwa! #ujenzi #nyumbazakisasa #ramani

MB CIVIL PROFESSIONAL
MB CIVIL PROFESSIONAL
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 26 June 2026 16:40:59 GMT
675
32
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @mb__civil__professional, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About