Kaka da respect sana tangia kitambo kijana mwenzetu ni furahaa sana kuona upo kwenye mafanikio kaka ume tu Inspire sana kaka Big up kaka da ,🫡🙏 na kwetu hizi ni baraka kaka 🔥 Mungu atujalie vijana tufikie hatua 🤲zetu
2026-06-26 17:47:56
8
bah :
mungu fanya kitu katika maisha yangu namimi 🧘
2026-06-26 17:53:25
6
fti_official :
labda tujenge hoja
2026-06-27 07:37:49
0
Jane :
wacha nisave for 5 years later
2026-06-27 11:45:17
1
m_smart18 :
usifadhaike kijana mwenzangu umu ni mitandaon wanafake sana,mambo ni mengi we endelea kupambana amnini mungu yupo atakusaidia wala usiwe na tamaa za mitandaoni
2026-06-27 10:59:28
1
Bei_Kitonga_Collection :
Allahuma bareek🔥🔥
2026-06-26 20:18:01
2
Nancy power🌺🧸 :
Asante kaka
2026-06-26 18:19:02
3
prince 0047 :
iyo song mbona ya huzuni kaka
2026-06-26 19:11:08
2
To see more videos from user @brown_mwamposa, please go to the Tikwm
homepage.