@janemaskincare: #cookingpaste #wadada #tiktok Viungo vya mchanganyiko wa kupikia (unaotumika kwenye vyakula mbalimbali): * Swahumu (saumu) * Kitunguu maji * Hoho * Tangawizi * Dania/Giligilani * Mafuta ya kupikia * Chumvi * Limao * Vinegar Faida: * Huokoa muda wa kupika. * Unaweza kuutumia kwenye karibu kila aina ya chakula kama nyama, samaki, kuku, maharage, mchuzi na mboga.